Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

mods inabidi waweke kitufe cha kujuwa kama mtu anatype thread maana unaweza kuta mtu anatype uko sie subira hatuna

ila kuwasaidia maskini ni jambo jema ila isiwe kwa manufaa yako binafsi ,shusha thread mzee anataka kukuunga chamani
 
Dah haya mambo haya!, napata mashaka isije ikawa kama ya bwana yule.... Yeye kila baada ya muda fulani anarudi kwao kupika sadaka then maji ambayo watu watanawa kabla na baada ya kula huyahifadhi vizuri na kurudi nayo mjini kwaajili ya mambo yake ya kuwa rich one!.

Sasa isijekuwa mwamba kaharibu alivyoosha vyombo [emoji1787]

Onyo: usiwe mwepesi wa kupokea hovyo offer, vitu vya anasa au kula kula hovyo vya watu, ipo siku itakucost in one way or another
Duuuuh bwana yupi uyo aseeeee, ila life hapana aseeee
 
Mkuu iyo gari tangia ulivho pewa ..sijaona sehemu ukisema kama uliingia sheli kujaza mafuta zaidi ww ni kupark tu izi chai zingine ziwe zinaendana na uhalisia
mmmmh ndgu kwan gari kakaa nalo mwezi c cku izo ambazo azijazdi tatu n kuhusu mafuta u never know may be tank lilikuwa bdo lipo vzur
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mkuu wewe ndio mzee muhusika kweli kabisa.?
Hicho kilichochukuliwa kwenye gari yangu na kijana wa Bugurini ambae alikua ni miongoni mwa vijana uliowapa chakula, nitakipata tuu ila umekosa umakini na utajiongezea utata endapo utazidi kuanika mambo ktk jukwaa hili. Nadhani umenielewa kijana wangu
 
Back
Top Bottom