Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeacha kazi? Au unaishi pika pakua na Accountant...I'm CuriousNilireport, lakn[emoji22] acha tu mkuu
Season 2 itakua lini?Just Wait for Season 2 Mkuu
When will season 2 start mkuuJust Wait for Season 2 Mkuu
Duh pole sana but kama unayamudu pia sawa Kwa kuwa Mwenyezi Mungu hampi mja wake mtihani unaomzidi kimo,yote Kwa yote Mungu akitangulizwa mbele utaruka vihunzi vyilivyoko mbele yako.Nategea matukio yaishe au yapungue, maana naona Kila week linaibuka jipya
Amin, Amin, Amin[emoji1545] naamini hivyo pia japokuwa challenges zingine ni tricky sanaDuh pole sana but kama unayamudu pia sawa Kwa kuwa Mwenyezi Mungu hampi mja wake mtihani unaomzidi kimo,yote Kwa yote Mungu akitangulizwa mbele utaruka vihunzi vyilivyoko mbele yako.
Kila la kheri,sisi kila Wakati Kwa kudra zake Mungu pia tunakuombea uyapasue mawimbi vyema huku tunatega sikio tuje pata Cha kijifunza.
Boss, nilifanikiwa kusafirisha mzigo wangu! Ila next time nitapenda kufanya kazi na wewe, hata kama ni mwakani itakuwa sawa tu kwa uande wangu, Nadhani hata kwako itakuwa safe coz pilikapilika za Uzi zitakuwa zimeishaAmin, Amin, Amin[emoji1545] naamini hivyo pia japokuwa challenges zingine ni tricky sana
Mkuu, unajua saa hii sipo kwa..... anyway acha tuone vile itakuwaBoss, nilifanikiwa kusafirisha mzigo wangu! Ila next time nitapenda kufanya kazi na wewe, hata kama ni mwakani itakuwa sawa tu kwa uande wangu, Nadhani hata kwako itakuwa safe coz pilikapilika za Uzi zitakuwa zimeisha
Ulishabwaga nn bro, ivi ulisema Mzee anarudi baada ya miezi 2 sio?Mkuu, unajua saa hii sipo kwa..... anyway acha tuone vile itakuwa
Si utupe connection ya kazi hapo hapa mjini mkuu maana nafasi ipo wazi hiyoMkuu, unajua saa hii sipo kwa..... anyway acha tuone vile itakuwa
Yani kesho kutwa sio!? So huu mwezi hauishi Season 2 utakua umeshaishusha mkuu?This Saturday