Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mzee kaingia Jana, na hadi Leo sijaonana nae, namkwepa kwepa kwanza hii wiki inayoanza kesho iishe Kuna vitu Bado havijakaa sawa
Doh![emoji2365] Umeanza kumkwepa Mzee? Hii ni dalili mbaya, usipokuwa makini utafeli kwa vitu vidogo sana, kama Maji yamezidi Unga weka wazi hata wadau tukushauri humu
 
Mkuu mm huwa Nina kawaida moja, nikiwa katikati ya jambo huwa sihitaji ushauri tena, muda wa ushauri hapa ulishapita, acha nikomae tu mwenyewe.

Ila Kuna watu kadhaa walishauri vizuri sana humu, Kuna watu kama watatu nimechukua maoni yao na kuyafanyia kazi, so kama nitafeli wao pia watakuwa wamechangia, Badae nitakuja kuwataja ili wajijue kwasababu Jumapili ndio naenda kuonana na Mzee rasmi
 
[emoji1531]
 
Mbona story imekaa kitamthilia...
Anyway huyo dogo, muanzishie biashara ya ufugaji kuku broiler kama 500hivi..ndani ya mwenzi 1 akiuza anauwezo wakujilipia nyumba na sehem ya banda , na ndobiashara simpo isio hitaji mambo meengi' jaribu hiyo utakuja leta mrejesho hapa
 
Mkuu hii sio tamthilia, kuhusu Dogo ni kwamba tayari alishaanza harakati ila bado hajaanza kuingiza kipato
 
SEASON 2 IT'S ABOUT TO COME/START

Hello! Habari Wakuu, kabla hatujaanza Season 2 Ningependa kuwashukuru members wote wa Jf waliochangia kwenye Uzi huu lakini nikiri tu kwamba nimefanyia kazi ushauri na maoni ya watu wa 3 kama sio 4.

Nitawaorodhesha mwishoni kabisa , lakini pia kuna hawa wengine walichukua muda wao na kuandika kile walichoona kinafaa Mimi kushauriwa nikianza na:-

Gily,

Wilhelm Johnny,

Restless Hustler,

Jane Msowoya,

heartbeats,

Ijagara,

Steph Curry,

makaveli10,

uncle virus,

Numbisa,

Tyrone Kaijage,

Mpatuka,

BinSalum7,

reac,

Abigail Nabal,

mosses15,

Verifier

Kamanda Moshi

Lastmost,

Donatila,

julaibibi,

lost cousin,

MENEMENE TEKERI NA PERESI,

Abuu Said

Mwanamaji,

Juandeglo,

mkaliwayai,

James Comey,

ngaboru

Heaven Seeker,

Mr Q,

Simple F,

Nazi Ignition,

vonso,

Vishu Mtata,

Manyanza,

Mike m,

appolo ELEVEN,

Boss Man,

g vizy,

nosspass,

jaby'z,

Kashaija72,

OllaChuga Oc,

The MoNA,

LOVE U JF,

White party

Nawashukuru sana sana pamoja na mliosoma Uzi na hamkuweza kuchagia chochote nawashukuru pia

Sasa Kuna hawa members wa 4 nimechukua mawazo yao na kuyafanyia kazi, naamini nitafaulu katika hili ila kama ikitokea nikafeli basi pia wao watakuwa wamechangia kwa namna moja ama nyingine

Kamanda Moshi Comment namba 557, Kaka Kamanda hukunipa wazo la Biashara lakini umenishauri kitu kizuri sana Cha kufanya kwanza kabla hata ya kuanza harakati za Biashara yenyewe, I appreciate [emoji1545]

Abuu Said Comment ya huyu member ipo namba 607, nimechukua ushauri wake hasa Ile Paragraph ya kwanza, Ile Paragraph ya pili nimeachana nayo kwasasa labda kwa hapo badae tutaangalia uwezekano, ila Paragraph ya kwanza Kaka Abuu nikuambie tu kwamba hakuna nilichokiacha na naamini nitafaulu

Ngaboru Comment namba 624, Ngaboru Dada yangu japokuwa kwenye swala la Mapenzi umeniacha nipambane na hali yangu ila nikuambie tu kwamba comment yako ina nyota 3, ulichonishauri nimekifanya, so kama nikifeli Jua umenifelisha mtu angu, ila naamini tutashinda katika hili

Verifier Comment namba 581. Kaka Verifier nimefanyia kazi ushauri wako hasa tukianza na Paragraph ya pili, mmefanana kidogo na bwana Abuu Said japokuwa ww ndio wa kwanza kutoa mawazo yako, nashukuru kwa hilo

Pia Kuna kitu umeshauri katika Paragraph hiyo hiyo ya pili mistari miwili ya mwisho na Paragraph ya tatu ambayo ni ya mwisho, nikiri tu kwa kipindi kile ulivyoandika sikuzingatia sana huo ushauri ila kuna Kaka mmoja mtaani kwangu kanishauri kama ulivyonishauri wewe, Nakumbuka aliniambia

"Huu msaada ili usiwe wa kinafki hakikisha madogo wote uliowapeleka kwa Mzee kula chakula unawasaidia, hapo hata Mzee mwenyewe atafurahia, unajua Mzee yeye hawezi kukuambia, anakusoma akili yako inaishia wapi" mwisho wa kunukuu kwa hayo machache japokuwa tuliongea mengi

Hapo ndipo nilipoaanza kutilia maanani ushauri wako ila kiukweli kama ni kusaidia mm nimepanga kuwasaidia kawaida tu, maana sina uelewa kabisa na mambo ya NGO.

Anyways guys kesho kutwa Jumapili ndio naenda kuonana na Mzee, na Safari hii kaniita kitofauti kidogo na siku zote, kimsisitizo kanambia "Nataka tuonane Jumapili jioni kwenye meeting, usikose ni muhimu sana" So till Monday nitakua nishajua mbivu na mbichi & Nadhani kuanzia hapo SEASON 2 ndio ina approach
 
Acha nipitie hizo Comment nione kama hizo shauri zina mashiko, hvi na mm sijakushauri chochote Mkuu [emoji848]
 
Kila la kheri mkuu
 
BM X6
Kila lakheri Chief, asante pia kwa kuona ushauri wangu maana umenitaja.
Karibu t/kimanga
 
Dah hii stori ni noma aiseee kwa sisi wataalam wa literature hii mbinu tunaita flashforward technique ni mbinu ya kisasa zaidi yaani unadokoa apa unaacha apa afu kitù kinaeleweka
Ila nataman nipate mwisho wake.

Nilivyokua naisoma nimepata mental image na kila mhusika nina image yake kichwani tyr i give this story and you 9/10

Unaonaje tuandke scripts kabs
 
Dah hii stori ni noma aiseee kwa sisi wataalam wa literature hii mbinu tunaita flashforward technique ni mbinu ya kisasa zaidi yaani unadokoa apa unaacha apa afu kitù kinaeleweka
Ila nataman nipate mwisho wake
Nilivyokua naisoma nimepata mental image na kila mhusika nina image yake kichwani tyr i give this story and you 9/10
Unaonaje tuandke scripts kabs
Mwisho wake upo katika Season 2 Mkuu, though mm mwenyewe sijajua mwishoni itakuwaje ila Soon nitajua na kuileta hapa
 
Sawa tupo tunaisubr kwa shauku kubwa sana tujue hatma ya caryn,Annie,wew na wale vijana wa buguruni na Accountant
 
SEASON 2 IT'S ABOUT TO COME/START

Hello! Habari Wakuu, kabla hatujaanza Season 2 Ningependa kuwashukuru members wote wa Jf waliochangia kwenye Uzi huu lakini nikiri tu kwamba nimefanyia kazi ushauri na maoni ya watu wa 3 kama sio 4.

Nitawaorodhesha mwishoni kabisa , lakini pia kuna hawa wengine walichukua muda wao na kuandika kile walichoona kinafaa Mimi kushauriwa nikianza na:-

Gily,

Wilhelm Johnny,

Restless Hustler,

Jane Msowoya,

heartbeats,

Ijagara,

Steph Curry,

makaveli10,

uncle virus,

Numbisa,

Tyrone Kaijage,

Mpatuka,

BinSalum7,

reac,

Abigail Nabal,

mosses15,

Verifier

Kamanda Moshi

Lastmost,

Donatila,

julaibibi,

lost cousin,

MENEMENE TEKERI NA PERESI,

Abuu Said

Mwanamaji,

Juandeglo,

mkaliwayai,

James Comey,

ngaboru

Heaven Seeker,

Mr Q,

Simple F,

Nazi Ignition,

vonso,

Vishu Mtata,

Manyanza,

Mike m,

appolo ELEVEN,

Boss Man,

g vizy,

nosspass,

jaby'z,

Kashaija72,

OllaChuga Oc,

The MoNA,

LOVE U JF,

White party

Nawashukuru sana sana pamoja na mliosoma Uzi na hamkuweza kuchagia chochote nawashukuru pia

Sasa Kuna hawa members wa 4 nimechukua mawazo yao na kuyafanyia kazi, naamini nitafaulu katika hili ila kama ikitokea nikafeli basi pia wao watakuwa wamechangia kwa namna moja ama nyingine

Kamanda Moshi Comment namba 557, Kaka Kamanda hukunipa wazo la Biashara lakini umenishauri kitu kizuri sana Cha kufanya kwanza kabla hata ya kuanza harakati za Biashara yenyewe, I appreciate [emoji1545]

Abuu Said Comment ya huyu member ipo namba 607, nimechukua ushauri wake hasa Ile Paragraph ya kwanza, Ile Paragraph ya pili nimeachana nayo kwasasa labda kwa hapo badae tutaangalia uwezekano, ila Paragraph ya kwanza Kaka Abuu nikuambie tu kwamba hakuna nilichokiacha na naamini nitafaulu

Ngaboru Comment namba 624, Ngaboru Dada yangu japokuwa kwenye swala la Mapenzi umeniacha nipambane na hali yangu ila nikuambie tu kwamba comment yako ina nyota 3, ulichonishauri nimekifanya, so kama nikifeli Jua umenifelisha mtu angu, ila naamini tutashinda katika hili

Verifier Comment namba 581. Kaka Verifier nimefanyia kazi ushauri wako hasa tukianza na Paragraph ya pili, mmefanana kidogo na bwana Abuu Said japokuwa ww ndio wa kwanza kutoa mawazo yako, nashukuru kwa hilo

Pia Kuna kitu umeshauri katika Paragraph hiyo hiyo ya pili mistari miwili ya mwisho na Paragraph ya tatu ambayo ni ya mwisho, nikiri tu kwa kipindi kile ulivyoandika sikuzingatia sana huo ushauri ila kuna Kaka mmoja mtaani kwangu kanishauri kama ulivyonishauri wewe, Nakumbuka aliniambia

"Huu msaada ili usiwe wa kinafki hakikisha madogo wote uliowapeleka kwa Mzee kula chakula unawasaidia, hapo hata Mzee mwenyewe atafurahia, unajua Mzee yeye hawezi kukuambia, anakusoma akili yako inaishia wapi" mwisho wa kunukuu kwa hayo machache japokuwa tuliongea mengi

Hapo ndipo nilipoaanza kutilia maanani ushauri wako ila kiukweli kama ni kusaidia mm nimepanga kuwasaidia kawaida tu, maana sina uelewa kabisa na mambo ya NGO.

Anyways guys kesho kutwa Jumapili ndio naenda kuonana na Mzee, na Safari hii kaniita kitofauti kidogo na siku zote, kimsisitizo kanambia "Nataka tuonane Jumapili jioni kwenye meeting, usikose ni muhimu sana" So till Monday nitakua nishajua mbivu na mbichi & Nadhani kuanzia hapo SEASON 2 ndio ina approach
@BM X6 unajua mara kwa mara napita hapa kuchungulia, nataka ikiisha hii story kama utapata muda nikupe story yangu uifanyie final touch maana kwa jinsi nilivyoiandika mm mwenyewe hanivutii ila ni story kali sana yani sana
 
Dah! Mkuu hii yenyewe kila nikitaka kuanza kuiandika ndio kwanza mambo yanazidi kuwa mengi, nikiimaliza tutaangalia tunafanyaje kama nikiwa na huo muda lakini
 
Back
Top Bottom