Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Episode inayofuata matukio yatakuwa ni ya October na November then tunaingia December

Kwa kifupi zimebaki Episodes 3 tu kumaliza matukio yote ya Mwaka jana (2022)
On waiting mzee. Usisahau kunitag mkuu
 
Episode inayofuata matukio yatakuwa ni ya October na November then tunaingia December

Kwa kifupi zimebaki Episodes 3 tu kumaliza matukio yote ya Mwaka jana (2022)
Hulazimiki kunijibu, maana itakuwa ni kuwarudisha wote nyuma. Binafsi nimekupoteza, maana sijaona ni lini uliacha kazi, Ila nakumbuka ulianza likizo. Kila nikipekua sipati hiyo episode.
 
Story bado inaendelea, kuna mambo mengi sana yametokea hapa katikati, unajua last episode ni matukio ya October

Hii story kuisha labda ni kwenye mwezi wa sita Nadhani kwasababu Annie atakuwa amerudi kutoka Mwanza anahamia Dar rasmi,

Halafu kumbuka Mzee alinipa mtihani ambao ndani ya miezi 6 natakiwa kuumaliza, Sasa Ile miezi 6 ndio inatimia kwenye mwezi huu wa pili
We andika unavyojisikia achana nae huyo huwezi mrizisha kila mtu
 
Hulazimiki kunijibu, maana itakuwa ni kuwarudisha wote nyuma. Binafsi nimekupoteza, maana sijaona ni lini uliacha kazi, Ila nakumbuka ulianza likizo. Kila nikipekua sipati hiyo episode.

Ipo mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom