Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ni ngumu sana wewe naUna maanisha nini unaposema kashaanza kujitetea?
Kuhusu Caryn naomba tu tusubirie episodes zinazofuata nataka nijitahidi kumaliza matukio yote ya nyuma kabla ya mwezi huu kuisha, yabaki matukio ya Current na Future
Mwanamke ukimuumiza akiwa hana maisha, mambo yakimnyookea anatafuta mwingine...Annie ni 50/50 kuoana nawe, hawezi kujiamini ukiendelea kufanya kazi na Accountant ambaye anafahamu fika mlinyanduanaUna maanisha nini unaposema kashaanza kujitetea?
Kuhusu Caryn naomba tu tusubirie episodes zinazofuata nataka nijitahidi kumaliza matukio yote ya nyuma kabla ya mwezi huu kuisha, yabaki matukio ya Current na Future