Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh naona upo makini sana codes zisifunguke...hayo mambo mengine ni extra sio muhimu sana kuyajua for the sake ya kulinda identityKama unakujaga Bandarini mara kwa mara na umeshaonana na huyo jamaa, I'm sure pia Mimi utakuwa umeniona sema ndio hivyo codes zimezingatiwa, japokuwa na onana na watu humu bila wao kujua wameonana na BM
Na kama siku ukiiotea Ofisi yetu basi kwa haraka haraka mtu utakaye mjua ni Caryn ila Sasa ni hadi uombe kuonana nae Kama shida yako ipo sensitive zaidi maana wateja wengi wakitoka store wanapitia kwa Accountant na kwa Secretary wamemaliza
Ndio maana watu ninaowapata humu kama wanashida ya kusafirishiwa mizigo huwa nawapeleka Kampuni fulani ili codes ziendelee kuwa safe
Kama Kuna jamaa flani alinicheki humu alikuwa anataka huduma, nikamkutanisha na Dogo flani, huyu Dogo alikuwa Dereva Kampuni flani akaacha akahamia Kampuni nyingine ya Cargo kama Salesman
Sasa jamaa nilivyomkitanisha na Dogo kwa mawasiliano mwisho wa siku jamaa akaagiza mzigo kupitia hiyo Kampuni huku akidhani kwamba Ile ndio Kampuni ninayofanyia kazi, maana siku anaenda kuchukua mzigo Dogo ananiambia kuwa aliniulizia
Uzuri nilikompeleka jamaa huduma ni nzuri so hakuwa disappointed na commission yangu nilikula, kwahiyo wakuu kama mna mizigo yetu kutoka china na inahitaji kusafirishwa kuja Bongo nichekini tu bila wasiwasi
Rapid Express ndio kampuni yenu au nimekosea? Ata kma nikipatia huwezi sema hhhhhhhMkuu Mafian cartel Picha zimekubali kufunguka ndio nimeziona Leo,
Bila kupepesa macho yule Agent namjua (ila sio Mimi), Ma-Agent na Ma logistic Manager tunafahamiana kwasababu tunatumia wote ndege moja, Air Tanzania na Ethiopian Airway kwahiyo mara nyingi ratiba huwa zinafanana.
Huyo Agent najua hadi Kampuni anayofanyia kazi, actually ndio hiyo hiyo uliyoiona Insta na Mimi ananijua ila kwa Nickname lakini sio nickname hii BM X6
Hizo Air Cargo zipo nyingi sana japokuwa wengine wanapiga miguu yote yote yani Air Cargo na Cargo Ship
Baadhi ni kama
Kaluu Express Air Cargo
Ngoka Express Air Cargo
Huru Express Air Cargo
Sifex Air Cargo
Tan Air Cargo
Rapid Express Air Cargo
Takes Express Air Cargo
Barhi Express Air Cargo
African Express Cargo
Target Express Air Cargo
Epic Express Air Cargo
SSI Air Cargo
NB: Katika hizo nilizozitaja kuna Kampuni ya Mzee pia
Mkuu hamu tuliyonayo ni sawasawa kabisa na ile hamu uliyokuwaga nayo wewe ile siku ya Kwanza kumuona Caryn akiwa kwenye taulo tu geto kwako.Mkuu Leo naweza kushusha mkeka lakini nahisi mkeka hautofika A day to remember maana utakuwa mrefu sana
inaitwa àramexEbu itaje[emoji848]
Haha ni story ndefu ila tuendelee kusubiri mkeka[emoji28][emoji28]Wewe uliotea kampuni gani mkuu
Mkuu utazunguka daslamu nzima ujue [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]Mkitaka kuijua Kampuni ya Bm zungukeni kwenye Parking za ofisi zote alizozitaja hapo
Mkikuta kwenye Parking kuna Bmw x3 basi ndo hapo[emoji28]
A day to remember Mzee kawa disappointed na mazingira aliyoyakuta Caryn na BM kumbe wako same house na kahs ,mambo mengi unaendeleaje behind the scene bilab' kujulishwaMkuu Leo naweza kushusha mkeka lakini nahisi mkeka hautofika A day to remember maana utakuwa mrefu sana
Hhhhhhhh Elimu ya Cuba kijanaKwanini iwe Rapid? na isiwe Epic