Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Kuna mdau alileta story ya kimombo ilikuwa poa sikumbuki kichwa cha habari. Naomba nikumbushwe ni nzuri. Alianza kwa kuandika" my wife is a CEO......."
 
Nipo mkuu ila kwasasa nipo busy mno kupita maelezo ndio maana nipo kimya ila huwa naingia mara moja moja humu kuchungulia

Na nipo busy kwasababu nafanya kazi tatu katika kampuni tatu tofauti, na kazi pia zimetofautiana

Kampuni ya kwanza nadhani wote mnaijua, Ile ya Mzee ya Usafirishaji

Kampuni ya pili pia ni ya Mzee Ile ya Real Estate ambayo Michelle ndiye Director

Kampuni ya tatu hii bado sijajua kama ni ya Mzee au lah, ila connection imetoka kwake, hii ni kazi ya tofauti kidogo pengine nikija kuendeleza story nitapata wasaha wa kuielezea kiundani, ila kwa kifupi ni kazi flani inahusiana na mtandao wa simu wa hapa Bongo katika kuweka/kuboresha Internet speed (5g) na hii kazi inafanyika usiku tu

Huo mtandao hiyo tenda wamewapa wahidi na Mimi ndio nafanya nao kazi, Sasa utaona namna ratiba yangu ilivyokuwa ngumu, hapa nilipo najiandaa kwaajili ya Kazi ya Usiku huu, At least kesho Jumapili nitapumzika ila Jumatatu naamkia Ofisini kwa Michelle nikitoka kwa Michelle nalala masaa matano naingia night shift na wahindi hadi asubuhi siku hapo inakuwa imegeuka na kuwa Jumanne so natakiwa kuwepo Bandarini kwaajili ya kutoa mzigo, hadi saa sita mchana nakuwa nimeshamaliza, so muda huo naenda kwa Michelle kuendelea na Ratiba zingine hadi saa kumi jioni narudi nyumbani kulala kwaajili ya maandalizi ya Kazi ya Usiku tena (That's daily routine)

Uzuri huku kwa Caryn huwa nahitajika Jumanne na Jumamosi tu, ila kwa Wahindi ni Kila siku usiku kasoro Jumapili na kwa Michelle pia ni karibia Kila siku inategemea na wingi wa wateja pia

Changamoto yangu kubwa ni usingizi, coz sometimes nalala masaa machache hivyo nikiingia job usiku sitoboi hadi asubuhi by Saa nane au tisa usiku usingizi unanikamata kama Jana ilibidi tusitishe kuendelea na kazi kwasababu ya Usingizi

Dawa ya kukata usingizi ni gani? kahawa siwezani nazo
Mirungi
 
Brother kuna ujumbe wako DM
 
Mtunzii upo makini Sana hongera...... Pole kwa yote uliopitia ni changamoto ktk utafutajii....... Naamn utajfunza na unaendelea kujfunza kila uchao... Nasubiri epsode ya tatu..... Unitag pls @Monetary doctor ..... Asante na Barikiwa
 
BM X6 huko jikoni hamna uliloliokota huko arosto itatuua.
Matukio yapo ya kutosha mkuu ila muda tu ndio unabana, nikisema nifosi kuandika Sasa hivi basi itakuwa kila mwezi ni episode 1, so ngoja tujipate kwenye muda tukirudi ni Bampa to Bampa

Uzuri the more time I take the more matukio yanaongezeka
 
sawa bila shaka tunakusubiri kwa hamu kubwa kamanda.
 
Back
Top Bottom