Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Napata feeling kuwa labda hii stori aliyeileta anasubiri stori ya Insider Man ifike mwisho ndipo yeye arudi kuiendeleza hii ya kwako vinginevyo hatapata muitikio mzuri wa viewers.
Naomba link mkuu...nipate hiyo story ya Insider
 
Kwa niaba ya TANESCO naomba utujulishe ni wapi uko hatujakata leo?.
 
Yaani siku akiweka mwendelezo unakuwa umeshasahau nyuma ilikuwaje
 
Annie mnapendana. Lakini sometimes love is not enough kutosha kufunga ndoa. Mnaoana na mtu wote hali za kiuchumi ni za tia maji. Mnapata shida tu mnaanza kuliliana machozi. Mfano mmoja anaumwa ugonjwa na matibabu yake ni India. Machozi na mapenzi hayatoshi kusolve tatizo lililoko mezani. (I have been there ninajua ninachoongea). Tutakufa wote hilo halina ubishi. Ila kuna vifo vinatuwahi kwa sababu ya umasikini wetu. Machozi na mapenzi hayaleti uhuru wa maisha. Go for love + uhuru wa uchumi.

Go for Carren. Build an empire with her. Ila fanya kazi sana kwa weledi mkubwa ili ktk hiyo empire wewe binafsi uwe na share nyingi pia. Mwanzo mwanzo wa penzi hakikisha unafanya uwekezaji wa maana. Usibweteke hata kidogo. Ili heshima ya mwanaume ktk ndoa kuwa juu ibaki pale pale.

Kura yangu kwa Carren

...samahani sana Annie kama utapita hapa. Mungu atakupa wa kwako. Huyu akili imeshacheza penzi lako liko kwenye kipimo.
Hahahhaaaa
 
ELECTION RESULTS

ANNIE: Total Votes 79

CARYN: Total Votes 106

(Wakali wa mahesabu hapo ni asilimia ngapi kwa ngapi?)

Wapenzi na wadau wa Live story ya Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni wamempendekeza Caryn kama Mwanamke wa maisha yangu, Kwa matokeo hayo Binafsi nasema kuna haja ya kichwa Cha Uzi kibadilishwe na kuwa Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa Caryn

Asanteni wote kwa ushirikiano wenu [emoji1545]
Caryn ni mwanamke na nusu...
Rudieni bongo movie moja ya JB inaitwa REGINA mtamuona Caryn....
 
Back
Top Bottom