Hatma ya Muungano Tanganyika na Zanzibar

kufungua kesi watu ilibidi watoweke kwanza kabla ya kuonekana tena..
Muungano huu unaenziwa na makada wa ccm tuu..
yaani ni muungano ambao makada wa bara na zanzibar wamejiunganishia ili kuendelea kung'ang'ania madaraka.
 
Mimi nadhani Nikupoteza muda kufungua kesi,, tufanye kama uingereza tuitishe Kura Za maoni especialy zanzibar waseme je wanaihitaji muungano ? If not tuvunje muungano kila mtu abaki na nchi yao... Najua nitambiwa sijui historia ya muungano lakini Tunaendelea hivi mpaka lini, juzi bungeni aliekuwa Waziri wa fedha awamu ya kikwete, "sada Mkuya" (hilo jina la mwisho Sina uhakika nalo) alilalamika wazi wazi bungeni
 


Kura zihesabiwe na Tume ya Jecha??😛😛😛
 
Wazanzibari hawajielewi! Wacha waendelee kutawaliwa mpaka watakapo amka.
 
WEWE UNAJIFANYA MUNGU ???

Muungano wa Kisoviet wenye mabomu ya nyuklia ulivunjika baada miaka zaidi ya 70 utakuwa huu wenye matatizo siku zote
Changamoto zpo znahitaj kutatuliwa Bila kuvunja Muungano changamoto si kigezo cha kuvunja muungano
 
ViZanzibari vikomae vinaweza kutuokoa aisee! Muungano ukifa leo sisi WaTanganyika tunarudi kwenye uchaguzi! Hapo J. Pombekali iliyochanganywa na kinyesi haipati kitu!
 
Viongozi wa zanzibar wanayo mawazo haya (lakini ni wa upinzani) ndio maana wamekuwa wakitaka zanzibar yao iwe kama singapore lakini kuna chuki za kidini ndio shida lakini zanzibar ikiwa kituo cha biashara bandari ya dar itakuwa haina mpinzani tuondoe chuki kama hongkong inavumiliwa na china
 



upemba na uunguja ni ukabila unaletwa na kuhubiriwa na Tanganyika , ni mbinu ya mkoloni mweusi Tanganyika

Wapemba na Unguja wameishi miaka nenda kabla uvamizi na hatujasikia hizo propaganda za Tanganyika na kanisa katoliki
 
Changamoto zpo znahitaj kutatuliwa Bila kuvunja Muungano changamoto si kigezo cha kuvunja muungano

Changamoto haziwezi kuondoka ikiwa mwanzo wa huu uitwao muungano ni Uvamizi
 
Uvamizi upi tena



Uvamizi uliopewa jina la muungano.

Tanganyika chini ya Laanatullahi Nyerere iliivamia Zanzibar na kumkamata Waziri Mkuu wake Muhammed Shamte Mpemba wa Ole aliyechaguliwa na wananchi pamoja na mawaziri wake na kuwafunga katika magereza ya Tanganyika bila kuwafikisha mahakamani kabla hata huo uitwao Muungano haujafikiriwa. Uvamizi ulikuwa 12Januari , muungano ulikuwa 26 April
 
Mkuu Una uhakka na hayo mambo? Au umesimuliwa hadithi
 
Mkuu Una uhakka nahayo mambo? Au umesimuliwa hadithi
 
Mkuu Una uhakka nahayo mambo? Au umesimuliwa hadithi

Anisimulie nani na mimi nilikuwepo pale Rahaleo skuli tulipowekwa siku tatu na njaa tukigombea embe zinazoanguka ??
 
Unaweza kunitajia faida 3 tu za huu Muungano wenu wa mabavu ?
 
Wazanzibari hawajielewi! Wacha waendelee kutawaliwa mpaka watakapo amka.


Watu wasiojulikana wamehamia UNUNIO , Mapumziko ni coco beach labda na nyinyi Watanganyika mtajielewa
 
Mahakama ya africa mashariki haiko chini ya imaya ya rais flan na hakuna mwenye kauli ma judge wanajiamlia kama sheria itakavyo waaamuru kufanya hivyo. hapa ndio wanaona itakuwa taaabu kwao ila hamna jinsi walishapewa onyo ambao hawatahudhuria hawata subiriwa na kesi itaendelea kusikilizwa haitakuwa kama mahakama za watu zilizo mfukoni kila mtu anawaambia mahakimu wake wazungushe kesi na kupiga kalenda
 
Mungano ukivunjika sifikirii kama wazanzibari wenye akili timamu watapigana au kuleta vurugu,hofu yangu kubwa ni hawa vibaraka wa CCM watakaosadiwa na Watanganyika ndio wataleta vurugu ili kulinda masilahi yao..

Wakati Dubai warabu wanakula vumbi la jangwa Zanzibar ilikuwa imeshapiga hatua mbali sana kimaendeleo,warabu wa nchi tafauti walikuwa wanakuja kufanya makaaza na biashara

Zanzibar,Waoman,Wayemen,Waurani.wachina na mataifa mengine wote wanapatikana Zanzibar wamechanganyika na kuunda kabila la waswahili,Mwafika kama kawaida yetu tulipopata Uhuru mwaka 1963,ndio ikawa mwisho wa uchumi wa Zanzibar,ikawa ndio kaburi la Zanzibar..

Mfano wa waafrika kuzizika nchi zao na kuzipeleka katika umasikini wa ufukara baaada ya kupata Uhuru sio kwa Zanzibar tu,tazama Zimbabwe na nchi nyengine chini ya jangwa la sahara,mfano mzuri sana ni nchi mpya ya Sudan Kusini,hii nchi watu wake walipigana vita miaka na miaka ili kudai wajitenge na Sudan ya Kaskazini,lakini baada ya kupata uhuru wao kutoka kwa Sudan Kaskazini wameanza kupigana wenyewe kwa wenyewe vita vinavyoendelea hadi leo..

Ni aibu kubwa sana kuiona nchi kama Zanzibar ipo hapo ilipo kisiasa,kimaendeleo,kiuchumi nk,waafrika hatuwezi kujitawala,waafrika maamuzi yetu yako kiushabiki,tunaamua kihisia sio kiuhalisia...Naamini kama Zanzibar inaongozwa na mtu asie na asili ya kiafrika ingelikuwepo mbali sana kwa kila kitu,sio vizuri kwangu mimi kama mwafika kusema hayo lakini ukweli ndio huo...,nawakilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…