Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 766
Wanasemaga pia eti hata chama cha ASP alikuja kukianzisha Nyerere mwaka 57. Angalia simulizi za Shiekh Barwani youtub
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mkoa unaweza shitaki mahakama ya jumuiya ya afrika mashariki kuomba kujitenga? Tanzania ni mwanachama wa jumuiya .Zanzibar ni kama mkoa tu hauna nguvu kisheria kujitambulisha kama nchi mahakama za kimataifa.Walioshtaki wanapoteza muda.Pia muungano uliliridhiwa na bunge na baraza la wawakilishi wao ni kina nani? Huwezi tengua kitu kilichoridhiwa na bunge na baraza la wawakilishi ambao ndio wawakilishi halali na kisheria wa wananchi.Huwezi kusanya sahihi za vibaka na wanga elfu 40 vijiweni eti wanataka muungano uvunjike.Muungano haukufanywa vijiweni
Vinarudi vipande vi2 vya zamani kila mutu kivyake[emoji196]Wadau nataka jibu....."je kama hiyo mahakama itahukumu kuwa muungano sio wahaki itakuwaje?"😉
Kweli unaamini hivyo?? kwani hao walifngaua kesi wao kama nani katika huu mungano..?Vinarudi vipande vi2 vya zamani kila mutu kivyake[emoji196]
Wanawainchi iliyoingia mkataba wa kuungana na nchi jirani.Kweli unaamini hivyo?? kwani hao walifngaua kesi wao kama nani katika huu mungano..?
Nimekufahamu mkuu,lakini bado najiuliza kwanini watawala wakubali kuwapa wananchi uhuru wakwenda kutafuta riziki sehemu wanayotaka kwa njia ya Mahakama,wakati watawala wameshawanyima wananchi kwenda kutafuta riziki kwa njia uchaguzi,njia ya kupiga kura...??Wanawainchi iliyoingia mkataba wa kuungana na nchi jirani.
sasa wameuchoka muungano tuwwache wende zao wajitafutie riziki wenyewe badala ya kuwa tegemezi
East Timor ilitawaliwa kimabavu na Indonesia hadi 2002 iliponijasua kutoka utawala wa Indonesia.HIZI NI BAADHI YA NCHI ZINAZOENDELEWA KUTAWALIWA KIMABAVU NA MABWANA ZAO
USA wanazitawala nchi za (alaska, guam ,hawaii etc)
MOROCCO wanatawala nchi ya SAHARA MAGHARIBI
ENGLAND inazitawala nchi za IRERAND YA KASKAZINI, WALES NA SCOTTLAND
TANGANYIKA inaitawala nchi ya ZANZIBAR kimabavu.
Nazenginezo...
mapinduzi siyo uhuruKwa maana hiyo ile january 12/1964 ilikuwa uhuru upi tena! Tanganyika wapeni Wazanzibari uhuru wao.
Process ni zile zile kama jinsi Nyerere alivyopeleka barua UN huko New York Marekani kutoka TANU wakitaka kujitawala au kuwa taifa huru.utaratibu wa
kulipeleka UNO na VETO huwa ukoje process zinaanzia wapi
Nahisi ni watanganyika hawajielewi,ni hivi tokea cku ya kwanza ya muungano huu hakuna mahali kisheria wazanzibar wameukubali muungano huu na ndio ukaona hadi hii leo hawaukubali muungano huu,wanajivunia kuwa wazanzibar, sasa tuje kwa watanganyika ambao kwa mawazo ya mtu mmoja tu aliejifanya mungu mtu (mzee kifimbo) kipindi hicho eti kwa utashi wake kaifuta tanganyika iliyopigania uhuru na watanganyika wanamtizama tu, sasa hapo nani hajielewi baina ya waznbr na watanganyika?Wazanzibari hawajielewi! Wacha waendelee kutawaliwa mpaka watakapo amka.
Nahisi ni watanganyika hawajielewi,ni hivi tokea cku ya kwanza ya muungano huu hakuna mahali kisheria wazanzibar wameukubali muungano huu na ndio ukaona hadi hii leo hawaukubali muungano huu,wanajivunia kuwa wazanzibar, sasa tuje kwa watanganyika ambao kwa mawazo ya mtu mmoja tu aliejifanya mungu mtu (mzee kifimbo) kipindi hicho eti kwa utashi wake kaifuta tanganyika iliyopigania uhuru na watanganyika wanamtizama tu, sasa hapo nani hajielewi baina ya waznbr na watanganyika?Wazanzibari hawajielewi! Wacha waendelee kutawaliwa mpaka watakapo amka.
Msitusingizie, hicho kitabu kina urongo mwingi tumeuzungumza hapa.Matatizo ya Zanzibar hupikwa kutoka Tanganyika
soma hapa wavuti: Jisomee online: Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru! Zanzibar na Mapinduzi ya Afrabia
Hapana, kuna hoja nyingi za kikatiba zimewahi kuamuliwa na mahakama kuu ya mwisho ni ile hoja ya mgombea binafsi, lakini kesi yoyote inayohusu the legality ya muungano, hii ni over and above the jurisdiction ya mahakama zetu, inahitaji mahakama ya katiba iwe constituted.Kwahiyo bwana Pascal unataka kutuambia kwamba zile kesi zote za kikatiba ambazo zimejenga Jurisprudence ya nchi hii zilisikilizwa kimakosa ??? Au kwa minajili hiyo unataka kuwaaminisha watanzania kwamba Tanzania hakuwajawahi kuwepo na migogoro ya kikatiba tokea tumefanyia hii katiba yetu Marekebisho ???
CC: Prof
Msitusingizie, hicho kitabu kina urongo mwingi tumeuzungumza hapa.
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari
P
Hapana, kuna hoja nyingi za kikatiba zimewahi kuamuliwa na mahakama kuu ya mwisho ni ile hoja ya mgombea binafsi, lakini kesi yoyote inayohusu the legality ya muungano, hii ni over and above the jurisdiction ya mahakama zetu, inahitaji mahakama ya katiba iwe constituted.
P
Sikumbuki the composition ya mahakama ya katiba ila inaundwa na majaji 7, watatu kutoka Mahakama Kuu ya Zanzibar na watatu kutoka mahakama kuu ya JMT, inaongozwa na CJ wa JMT, wanasheria wakuu wa JMT na Zanzibar ni ex officials wa mahakama hii. Inateua ma amicus curiae 5, wawili kutoka Zanzibar na wawili kutoka bara na mmoja kutoka Jumuiya ya Kimataifa. Nimetafuta nilipoisoma sijapapata.Mahakama ya katiba yenye jaji msomali , askari msomali , anayeshitakiwa msomali ???😛😛😛
Sikumbuki the composition ya mahakama ya katiba ila inaundwa na majaji 7, watatu kutoka Mahakama Kuu ya Zanzibar na watatu kutoka mahakama kuu ya JMT, inaongozwa na CJ wa JMT, wanasheria wakuu wa JMT na Zanzibar ni ex officials wa mahakama hii. Inateua ma amicus curiae 5, wawili kutoka Zanzibar na wawili kutoka bara na mmoja kutoka Jumuiya ya Kimataifa. Nimetafuta nilipoisoma sijapapata.
P
mkuu,Msitusingizie, hicho kitabu kina urongo mwingi tumeuzungumza hapa.
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari
P