Hatma ya Muungano Tanganyika na Zanzibar

Mwandishi amehadithiwa tuu kutoka kwa mashuhuda. Hapa msikilize huyu ni shuhuda wa Mapinduzi yale akihadithia mwenyewe.

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

P



cc wagagagigi


wewe unamweka shuhuda , huyu hapa ndiye aliyepindua msome alivyoandika kwenye kitabu chake




Ameandika mwenyewe kitabu , Hayo ndiyo malengo ya mapinduzi na utukufu wake na hao waliokimbia utaona walikimbia kwa nini ,


Gonga hapa : Kumbukumbu za Komredi Ali Sultan Issa, al-maaruf ''Shetani''
 
Mwandishi amehadithiwa tuu kutoka kwa mashuhuda. Hapa msikilize huyu ni shuhuda wa Mapinduzi yale akihadithia mwenyewe.

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

P
Nashkuru mkuu ila Hili bado halitupi haki ya kukiita kilichoandikwa kwenye kitabu cha kwaheri uhuru... kuwa ni "urongo" na wala halitupi haki ya kumkukubali na kumsafisha shuhuda mmoja na kuilazimisha jamii kwamba huu ndio ukweli!

Kwa maoni yangu ni kwamba hatuna haki hiyo! Tuwaache watu wakisome kitabu na wamsikilize huyo shahidi mmoja na baadae waamue wenyewe! Kumbuka kitabu kimeshirikisha mashuhuda wengi na huyo unaemsema ni shuhuda mmoja tu! una hakika gani kama huo ushuhuda wake alioutowa ni wa kweli? Kwa nini ulazimishe jamii kuukubali ushuhuda wake na kuwakataa mashuda wa kitabu?

Pascal, mara nyingi umekuwa ukichangia mambo ya Zanzibar bila ya kuwa na uelewa halisi. Nimekuwa nikifuatilia makala zako na nilichobaini ni kwamba umekuwa ukiziandika ama kwa kutoelewa uhalisia wa mambo au kwa kiasi fulani ulieegemea kwenye mrengo fulani na ukaamua kuandika ulivyotaka wewe watu waamini.

Naomba uelewe kwamba kwenye hii JF kuna wazanzibari na kati yetu ni waathirika wakuu wa historia ya Zanzibar. Mababu zetu na mabibi zetu ni wahanga wa moja kwa moja wa yaliyotokea Zanzibar. Wewe ulisikia kwenye BBC sisi tulisikia na waathirika wenyewe face to face.
 

Pascal aelewe sisi wengine ni waathirika toka day one , mengine hatuwezi kuyaandika humu ni ya kifamilia hayasemeki huu muungano umetuathiri vibaya sana hatuwezi kuusahau milele
 
Leo Tarehe 26 April, 2020 ni sikukuu ya Muungano, sikukuu hii ndio sikukuu muhimu kuliko hata uhuru kwasababu hii ni siku JMT ilipozaliwa. Lakini kutokana na janga hili la Corona, siku hii inaadhimishwa kimya kimya.
Naawatakia Muungano mwema huku nikisisitiza
Nautakia huu muungano wetu adhimu udumu milele na hivyo kukitokea yoyote anayetaka kuuchokoa muungano, namshauri chokochoko amchokoe pweza, muungano hutauweza kwasababu tutaulinda kwa gharama yoyote.
Nawatakia muungano mwema.
P
 
Swali: Hivi ni sababu gani ya kufikirika iliyofanya wakati wa muungano wakakubali serikali mbili serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania?

Nchi zilikuwa mbili Tanganyika na Zanzibar imekuwake nchi moja iko na Muhimili yake yote mitatu yaani Zanzibar na Nyingine inategemea utawala wa Muungano badala ya kujitegemea yenyewe?(Tanganyika).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…