Hatma ya Shilole mikononi mwa BASATA


Sijui kwa kweli ila kama ndivyo basi siku ya show watakuwa wanazidisha dozi. Ila nina mashaka na mahusiano yao, jamaa alitakiwa awe mshauri wake lakini inaonekana yupo yupo tu. Hivi kweli mpenzi wako anavaa unamwona alafu unamsifia wakati kapiga bra tu?
Kwa ujumla ni rahisi kuwa star ila ni vigumu sana kuendelea kuwa celebrity (ku-maintain) na hili linasababishwa na wasanii kutokuwa na washauri hasa waliosomea sychology si kana kwamba hawapo ila wanaogopa gharama.
 


Hiyo biashara akafanye Afrika Sana sinza, sio kwenda kutuchafulia jina nje ya nchi,

kwanini kina vmoney, jadyee na wengine hawajidhalilishi hivyo na wanameki hela.

Akajipange tuu...game imemshinda
 

Na shishi anafikiri kujiacha wazi ni kupagawisha mafans ndio anatafta hela lakini sio kwa njia ya kujizalilisha kiasi hicho. Nuhu hawezi kua na sauti mana hajiamini shilole huwa anampiga ka mtoto kila Mara na anaamini akiwa na shishi hatapitea. Shilole angejitafakari kuinua mziki Wake na washauri wazuri angefika mbali ila halipo sa ivi hamna anayejali haimbachi heshima ni kitu cha bure. Mbona Jidee kadumu zaidi ya miaka kumi na hajawahi kujizalilisha kuonyesha viungo nyeti na kila mtu anamuheshimu kwenye jamii. Shilole anajiharibia mwenyewe nadhani na elimu na uchanganuaji wa mambo ni tatizo kwake abadilike, mziki bila kujizalilisha inawezekana kabisa.
 
Hiyo biashara akafanye Afrika Sana sinza, sio kwenda kutuchafulia jina nje ya nchi,

kwanini kina vmoney, jadyee na wengine hawajidhalilishi hivyo na wanameki hela.

Akajipange tuu...game imemshinda

Hivi kwani ameajiriwa na basata, huo ni wivu wewe kinakuuma nini wakati anayeaibika ni yeye, na ni wangapi wameshaaibisha Taifa lako unamwona Shilole tu na kuiaibisha nchi sio mpaka mtu avae vibaya kuna vitu vingi vya kuiaibisha nchi, hata madawa ya kulewa ni kuiaibisha nchi, ufisadi n.k tena vingine ndio vinazorotesha uchumi wa nchi yetu, watanzania tuache ubumbavu wa kushabikia vitu ambavyo havina umuhimu hebu tushabikie kujikwamua kiuchumi, acheni mawazo mgando na wote wanaoona Shilole kaaibisha nchi wana IQ ndogo na ubongo wao mdogo kama sisiminzi.
NO SENSE! Angalia uchumi wa familia yako na nchi yako, Shilole yupo kwenye business anajiongezea pato wewe kaa upige kelele huku njaa inakuua.
 
Haonewi ndugu yeye alipewa barua yenye nembo ya bibi na bwana ikimtambulisha kuwa msanii toka Tanzania siyo mwonesha nyeti hahaaa.

Hizo nyeti ni zake na kama kuaibika ni yeye, sisi kwa nini tuumie kwani katupungizia nini? Jamani vitu vingine sioni kama vina mantiki yoyote, hebu tufikirie vitu vya kutujenga sio kukalia umbea wakati hakuna tunacho gain, na kuiaibisha nchi kuna vitu vingi kama madawa n.k lkn hampigii makelele mpo na Shilole tu, mimi namwambia Shilole afanye kitu roho inapenda na wateja wake tunapenda tunamkaribisha US atupe burudani ya kiuno.

SHILOLE OYEEE
 


Nenda kampe kampani ya kuonyesha chuchu zenye sugu.

Ninyi Ndo mnaotaka kutuletea ushoga..
 

Alafu alivyohojiwa na millard kajitetea kuwa aliyempiga zile picha alikuwa na bifu nae baada ya kumkatalia mwaliko wake na kwamba ni ajali kazini. Ujumbe anaoutoa ni kuwa inawezekana ndo mchezo wake hivyo tatizo siyo kuvaa vibaya au nyeti kumwagika ila tatizo ni mpiga picha kwa hiyo hata angecheza uchi kwake ni sawa tu as long as no one is recording.
 
Nenda kampe kampani ya kuonyesha chuchu zenye sugu.

Ninyi Ndo mnaotaka kutuletea ushoga..

Hivi unaakili kweli mwanamke au mwanaume hata ukivaa utajulikana una sehemu za siri na manyonyo, kwani unapomtongoza mwanamke unakuwa hujui kama ana papuchi au nyonyo! Nsi unakuwa unajua ndio maana unamtongoza akakupe hiyo huduma.

Nyie ndio watu mnaobaka hata watoto wadogo kwa kumuona akiwa uchi, acha upuuzi ujifunze kudhibiti tamaa zako.
 



Tatizo humu jf kuna majuha wengi, wewe ni mmoja wao.

kwahiyo kwa kuona chuchu zenye sugu km za shilole mjinga ndo sitokuwa na tamaa:what:

Nipe facts za yeye kujianika uchi jukwaani?
Au kama aliienda kunyooshwa mgongo na wabelgiji useme.?

Kama imekugusa go and join her...
 


Haya mama wa US ujumbe umefika, mshauri basi abadilishe leseni kutoka mziki kwenda ..............jibu unalo
 
SiimaK

Celebrities wa kibongo akili fupi...

Ninyi mkipanga kwenda kuunyesha matiti yaliyorojeka jukwaani , Kina Zari Hassan wana plan namna ya kupiga hela bila kujidhalilisha.

Acheeni ubundi! p'mmbaaavu
 
Last edited by a moderator:
Kama anatambua kuwa ule ni mwili wake na ana uhuru nao basi asingelijipeleka huko BASATA kujisajili...

Kujisajili BASATA maana yake alikubali kuwa atalinda sheria na maadili ya Kitanzania na hapo ndipo alipojifunga...

Jamani Basata hilo ni uonevu huo ni mwili wake ana haki ya kuutumia anavyotaka mmemuona Shilole tu, kigodolo hamjakiona mpaka mnamuadhibu shilole!
 

Wivu tu unakusumbua, huna lolote mwenzako anatengeneza pesa wewe kaa uumie na roho yako ya mbaya.
 
Haya mama wa US ujumbe umefika, mshauri basi abadilishe leseni kutoka mziki kwenda ..............jibu unalo

Haikuhusu, mind for your own business, ndio mmemuona Shilole tu hiyo mitandao inayoonyesha mambo mabaya mbona mnaangalia na familia zenu, au hiyo haivunji maadili.
 
Nashukuru Mungu kuwa huyo sio mchagga maana angeshaitwa kwenye vikao rasmi na kushuhulikiwa kimaadili.
 
SiimaK

Celebrities wa kibongo akili fupi...

Ninyi mkipanga kwenda kuunyesha matiti yaliyorojeka jukwaani , Kina Zari Hassan wana plan namna ya kupiga hela bila kujidhalilisha.

Acheeni ubundi! p'mmbaaavu

Kila mmoja na utafutaji wake wa pesa, ndio maana kuna biashara za aina tofauti, ngoja nikuulize swali hilo ziwa alilolionyesha ni la kwako au wewe umepungukiwa nini, achana na mabo ya kizamani kuna mabo mengi ya kujadili kutuongezea kipato sio kukaa na kumbeza mtu kafanya kosa fulani.
Jihesabu wewe umkamilifu kiasi gani, je kwenye amri kumi za Mungu ni ngapi umezitendea haki, usitoe kibanzi kwenye jicho la mwingine wakati wewe ndio muuaji mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
Haikuhusu, mind for your own business, ndio mmemuona Shilole tu hiyo mitandao inayoonyesha mambo mabaya mbona mnaangalia na familia zenu, au hiyo haivunji maadili.

My country is my business i will always fight to maintain its good reputation wherever and whenever as long as I can.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…