Hatma ya Shilole mikononi mwa BASATA

Hatma ya Shilole mikononi mwa BASATA

Papuchi ni yangu nitaiuza na kuionyesha ninavyotaka na hamna wa kunihukumu hapa duniani. Ni Mungu tu ndio wakunihukumu na nyinyi mngojee hukumu zenu. Acheni kuhukumu sio kazi yenu.

Lile neno la "Tumia fursa ukiipata" naona linakufaa wewe

Kila la kheri na papuchi dada
 
Wanaomtetea huyu mjinga nao akili zao ni moja tu.
Huyu mjinga alitakiwa afungiwa akiwa huko huko, hakuna sababu ya kujieleza.
 
Kujisajili sio shida hiyo ni haki yake, kama wewe unavyosajiliwa NECTA kufanya mitihani na mbona unafeli NECTA walikuadhibu

Huu mfano wako haupo hai...

Masharti ya kufanya mitihani ya NECTA hayana kipengele kinachomuhitaji mtahiniwa kupata alama za juu...

Masharti yaliyopo ni kuhakikisha mtahiniwa anaandika nambari yake ya mtihani, hatakiwi kuigilizia majibu n.k...

Masharti hayo ndio yanapokiukwa mtu hukabiliana na adhabu...

kusajiliwa sehemu yoyote ni haki ya kila mtu anayehitaji hiyo huduma na je kwenye usajili kuna sehemu unaambiwa usionyeshe ziwa?

Ni kweli kuwa kujisajili au kusajiliwa ni haki ya kila mtu lakini umesahau kuwa kutii sheria ya usajili ni wajibu wa kila pande iliyoingia mkataba wa usajili...

Kuonesha ziwa hadharani ni kinyume na maadili kwa kuwa ni sehemu ya kiungo cha siri...

Hiyo ni sawa unapoenda dukani lazima upewe stakabadhi ya kitu ulichonunua na hauulizwi unaenda kukifanyia nini.

Si sawa kwa kuwa hakuna mkataba baina ya muuzaji na mnunuaji isipokuwa wauzaji hufuata sheria ya kodi ya mapato na ndio maana risiti hutolewa...

Acheni wivu wa kijinga huo mwili ni wake na ana haki ya kufanya anavyotaka.
GOD IS ONLY FAIR JUDGE NOT YOU.

Ingelikuwa ni wivu endapo angejadiliwa na BASATA pasipo kuwa na mkataba nao...
 
Mkuu kabla ya kuendelea na huu mjadala unatakiwa kujua mtu akiamua kuingia na kujisajili na chama fulani ujue amekubaliana na sheria za chama husika!
Hivyo basi kwakuwa shilole alijisajili Basata basi alikubali kufata sheria husika za Basata na ndio maana Shilole alipo onywa aliahidi kubadilika hivyo ni wazi kama kashindwa kutimiza aliyo ahidi na kufata sheria alizo zikubali ana stahili kupewa adhabu!

Watu mmezidi kushabikia ujinga, hata kama kuna sheria na alishaamua kuzifuata nyie mnaangaika na nini, kitu kingine mnasema ana dhalilisha Taifa ninachouliza ni wangapi wameridhalilisha Taifa na kuzorotesha uchumi wa nchi. Mmeona maziwa tu, kuna madawa ya kulevya, kuna rushwa n.k hivyo ndio dhalilisha Taifa.
Kwangu mimi sioni kama kuna kosa la ajabu alilofanya Shilole kuna mashindano ya ma miss watu wamekaa sana utupu kwa mavazi yao ya kuogelea hilo Basata halijaona na je umiss unaendana na maadili ya Taifa letu. Huko ni kumuonea tu Shilole na mimi nazidi kusisitiza ni wivu wa baadhi ya watu.
Watanzania tujaribu kutilia mkazo kwenye mambo muhimu sio upuuzi amba hauathili hata Taifa letu.
 
Kujisajili sio shida hiyo ni haki yake, kama wewe unavyosajiliwa NECTA kufanya mitihani na mbona unafeli NECTA walikuadhibu, kusajiliwa sehemu yoyote ni haki ya kila mtu anayehitaji hiyo huduma na je kwenye usajili kuna sehemu unaambiwa usionyeshe ziwa? Hiyo ni sawa unapoenda dukani lazima upewe stakabadhi ya kitu ulichonunua na hauulizwi unaenda kukifanyia nini.
Acheni wivu wa kijinga huo mwili ni wake na ana haki ya kufanya anavyotaka.
GOD IS ONLY FAIR JUDGE NOT YOU.

Teh Teh Mkuu unaniacha hoi jinsi unavyo jenga hoja...kwa hiyo ulitaka miongozo na sheria za Basata ziandikwe ukionesha ziwa ni kosa ndiyo liwe kosa?

Kuna kipengele kinasema msanii au mwanamziki kufanya matendo yanayo mdharirisha au kudharirisha utu wake akiwa jukwaani au sehemu anayo timiza wajibu wake kama msanii litakuwa ni kosa ambalo linaweza pelekea kufungiwa kufanya kazi husika au kupewa onyo...!
 
Na uache kutizama picha za ngono kwenye mitandao ndio maana unapatwa na mfadhaiko unapoona nyonyo za watu.

Huo sasa uchawi umejuaje hahaa ila kuangalia haikatazwi ndo maana wanaandika +18 mbaya kutuma
 
Huo sasa uchawi umejuaje hahaa ila kuangalia haikatazwi ndo maana wanaandika +18 mbaya kutuma

Kwa hiyo na shoo ya Shilole kulikuwa kuna watu chini ya miaka 18, na unauhakika wanaotizama ngona Tanzania ni chini ya miaka 18. Hao watoto wanaofanya ngono chini ya umri walimuona Shilole.
Mimi nafikiri utafute kitu cha kufanya ili uache upuuzi wa kufuatilia vitu ambavyo havitakujenga kimaisha.
 
Watu mmezidi kushabikia ujinga, hata kama kuna sheria na alishaamua kuzifuata nyie mnaangaika na nini, kitu kingine mnasema ana dhalilisha Taifa ninachouliza ni wangapi wameridhalilisha Taifa na kuzorotesha uchumi wa nchi. Mmeona maziwa tu, kuna madawa ya kulevya, kuna rushwa n.k hivyo ndio dhalilisha Taifa.
Kwangu mimi sioni kama kuna kosa la ajabu alilofanya Shilole kuna mashindano ya ma miss watu wamekaa sana utupu kwa mavazi yao ya kuogelea hilo Basata halijaona na je umiss unaendana na maadili ya Taifa letu. Huko ni kumuonea tu Shilole na mimi nazidi kusisitiza ni wivu wa baadhi ya watu.
Watanzania tujaribu kutilia mkazo kwenye mambo muhimu sio upuuzi amba hauathili hata Taifa letu.

Mwanzo nilifikiri uko tayari kwa mjadala kumbe sikuwa sahihi!
Hapa tunacho angalia kuwa Shilole amefanya kosa au lah? Na makosa ya Anna au wengine hayafanyi Shilole aonekane yuko sahihi!

Na unapo jenga hoja za kumtetea mtu usianze kwa kusema kuwa mbona fulani kafanya kama yeye? Huku si kumtetea bali kumkandamiza! Wanasema anaye kamatwa na nyama ndio mwizi!
Halafu uzingatie kuwa unaye mtetea alikubali kuzifata sheria za Basata!
Halafu naomba kujua ni ujinga gani tuna tetea?
 
SiimaK

Celebrities wa kibongo akili fupi...

Ninyi mkipanga kwenda kuunyesha matiti yaliyorojeka jukwaani , Kina Zari Hassan wana plan namna ya kupiga hela bila kujidhalilisha.

Acheeni ubundi! p'mmbaaavu

Hahaaaa kweli kabisa kutafta hela si Mpaka ujizalilishe ndo mana Zari anajivutia mkwanja mrefu bila tatizo na akiendelea kulinda heshima yake.
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh Mkuu unaniacha hoi jinsi unavyo jenga hoja...kwa hiyo ulitaka miongozo na sheria za Basata ziandikwe ukionesha ziwa ni kosa ndiyo liwe kosa?

Kuna kipengele kinasema msanii au mwanamziki kufanya matendo yanayo mdharirisha au kudharirisha utu wake akiwa jukwaani au sehemu anayo timiza wajibu wake kama msanii litakuwa ni kosa ambalo linaweza pelekea kufungiwa kufanya kazi husika au kupewa onyo...!

waambie hawa wajinga wajinga mkuu...

wanashabikia upuuzi tuu
cc; SiimaK
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa kweli kabisa kutafta hela si Mpaka ujizalilishe ndo mana Zari anajivutia mkwanja mrefu bila tatizo na akiendelea kulinda heshima yake.

Hawa wa kwetu si wanawaza vigodoro tuu...wakiji- upgrade Ndo kama shilole hivo anaishia kuunyesha nyeti na kujidhalilisha.

Teh teh teh..
 
Mpuuzi ni wewe unayeingilia maisha ya watu, mind for ur own business acha utoto, mwili wake wewe unakuumia nini.

kajifunze kiingereza kwanza wewe.

Uko kama Mziwanda tuu

Au useme km Ndo umekuja kutetea ujinga wa demu wako.
 
Kwa hiyo na shoo ya Shilole kulikuwa kuna watu chini ya miaka 18, na unauhakika wanaotizama ngona Tanzania ni chini ya miaka 18. Hao watoto wanaofanya ngono chini ya umri walimuona Shilole.
Mimi nafikiri utafute kitu cha kufanya ili uache upuuzi wa kufuatilia vitu ambavyo havitakujenga kimaisha.

Dah unachanganya mada balaa kosa la shi ni kukiuka tamaduni zetu na maadili ya kazi yake kwa mujibu wa leseni.
 
Mbn basata hawaelezi ni hatua gani achukuliwe afunguliwe mashitaka ya kutembea uchi na ikibidi afungwe mbn mnatafuna maneno imekuwa aibu kwa wasanii wa kike kila siku kutembea uchi. Anyanganywe pass na afungwe
 
Back
Top Bottom