Ni wajibu wa kila Mtanzania kulinda maadili yake.. Kaanzia ktk ngazi ya familia. Wewe usiangalie maadili ya watoto wako usubiri Basata waje wakutizamie.
Mydia.. Elewa lugha, Basata wanahusika na shilole kwa sababu yeye ni msanii, na wao ni mamlaka inayosimamia sanaa kwa mujibu wa Sheria. Yeyote anayefanya kinyume na maadili ambaye si msanii hutawasikia wakijihusisha, na zaidi ya hayo shilole angefanya hayo nje ya jukwaa huenda wasingembuguz as ni maisha yake... Ktk hili alikuwa kazin, kazi ya sanaa.. Na kila kazi ina maadili na taratibu zake. Na uzuri.. Mkuu
Ruttashobolwa alishakutajia baadhi ya masharti ya kibali alichonacho.
Vigodoro ni sanaa? Jaribu kutafuta maana ya sanaa then utajua kama ni sanaa au ni mashikoro gani