Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ni demu wangu, kwanini unapanic acha ujinga, unamtaka nini au unamuonea wivu alivyoumbika, wewe nani kwanza wasione vibaya wazazi wake wewe ndio unakurupuka kuona vibaya una gharama umemgharamia toka utoto au ulimlea maadili mazuri toka utotoni, kama hupendi anavyofanya acha kuangalia au kumfuatilia tutolee ushamba hspa na IQ yako ndogo.
Halafu waambie Basata wangeanza na ma miss kwanza.
No sense.
Kamuulize Dada yako.
Ni dhahiri kuwa umeishiwa hoja lala maana unataka kuleta matusi sasa. Umesema mamiss wanakaa uchi nikakwambia weka picha sasa dada yangu anakujaje humu?
Wivu tu unakusumbua, huna lolote mwenzako anatengeneza pesa wewe kaa uumie na roho yako ya mbaya.
Mpuuzi ni wewe unayeingilia maisha ya watu, mind for ur own business acha utoto, mwili wake wewe unakuumia nini.
Mkuu unajua unanishangaza jinsi unavyo changia huu mjadala!Ndio ni demu wangu, kwanini unapanic acha ujinga, unamtaka nini au unamuonea wivu alivyoumbika, wewe nani kwanza wasione vibaya wazazi wake wewe ndio unakurupuka kuona vibaya una gharama umemgharamia toka utoto au ulimlea maadili mazuri toka utotoni, kama hupendi anavyofanya acha kuangalia au kumfuatilia tutolee ushamba hspa na IQ yako ndogo.
Halafu waambie Basata wangeanza na ma miss kwanza.
No sense.
Kweli kabsa basata waachee njaa mbona kina rihana atujawahi kusikia hii mizengwee
Mfyuuuu
Wauza nyapu utawajua tu..
Hizo shughuli za kiuchumi unazotetea ni zipi hizo, ni hizo za kuuza nyapu sio?
Na huyo Shilole ana kitu gani hasa cha kufanya majority wanaopitia uzi huu waone kachemka.. Au ni hiyo ndala, kuperform kwenyewe ana perform sebuleni, ana Tsh ngapi benki tumuonee wivu?
Maana umeng'ang'ana na wivu wivu.. Unayongea hayana mashiko, kajipange upya.
we nuhu hebu kanyonye kwanza
wakubwa tunaongea
Nuhu na shilole akili moja.
Jamani Basata hilo ni uonevu huo ni mwili wake ana haki ya kuutumia anavyotaka mmemuona Shilole tu, kigodolo hamjakiona mpaka mnamuadhibu shilole!
Kigodoro hawana usijali na basata
Mkuu unajua unanishangaza jinsi unavyo changia huu mjadala!
we nuhu hebu kanyonye kwanza
wakubwa tunaongea
Mkuu nakushauri uachane na huu mjadala!
hhhahaaa nuhu vituko vya english hadi jf
Siachani nao ng'o acheni mambo yenu ya kale Tanzania ya leo sio ya zamani na dunia nzima tunaenda na wakati huu ni utandawazi ndugu wacha ushamba.