Hatma ya Shilole mikononi mwa BASATA

Hatma ya Shilole mikononi mwa BASATA

Kama anatambua kuwa ule ni mwili wake na ana uhuru nao basi asingelijipeleka huko BASATA kujisajili...

Kujisajili BASATA maana yake alikubali kuwa atalinda sheria na maadili ya Kitanzania na hapo ndipo alipojifunga...

Kujisajili sio shida hiyo ni haki yake, kama wewe unavyosajiliwa NECTA kufanya mitihani na mbona unafeli NECTA walikuadhibu, kusajiliwa sehemu yoyote ni haki ya kila mtu anayehitaji hiyo huduma na je kwenye usajili kuna sehemu unaambiwa usionyeshe ziwa? Hiyo ni sawa unapoenda dukani lazima upewe stakabadhi ya kitu ulichonunua na hauulizwi unaenda kukifanyia nini.
Acheni wivu wa kijinga huo mwili ni wake na ana haki ya kufanya anavyotaka.
GOD IS ONLY FAIR JUDGE NOT YOU.
 
Kila mmoja na utafutaji wake wa pesa, ndio maana kuna biashara za aina tofauti, ngoja nikuulize swali hilo ziwa alilolionyesha ni la kwako au wewe umepungukiwa nini, achana na mabo ya kizamani kuna mabo mengi ya kujadili kutuongezea kipato sio kukaa na kumbeza mtu kafanya kosa fulani.
Jihesabu wewe umkamilifu kiasi gani, je kwenye amri kumi za Mungu ni ngapi umezitendea haki, usitoe kibanzi kwenye jicho la mwingine wakati wewe ndio muuaji mkubwa.


Hahahaaa...

Una muda gani humu Jf:what:

Point zako hazina mashiko wala direction , unashabikia upuuzi tuu bila kujua undani wa mambo.

Nenda kwanza kafute uanachama wa shilole BASATA Ndo uje na ushabiki wako hapa.
 
Awa basata zaidi ya kutoa adhabu kwa wasanii wa Bongo fleva wanafanya kazi gani nyingine?
 
SiimaK

Huo utafutaji wake unakuwa regulated na BASATA, sasa kwa taarifa yako na wenzako team shilole.

Basata haitambui huo utafutaji anaofanya shilole, in short hauko official
 
Last edited by a moderator:
My country is my business i will always fight to maintain its good reputation wherever and whenever as long as I can.

From know stop internet in your country cause many peoples get bad stuff from it. This will be a good way.
 
Sijui kwa kweli ila kama ndivyo basi siku ya show watakuwa wanazidisha dozi. Ila nina mashaka na mahusiano yao, jamaa alitakiwa awe mshauri wake lakini inaonekana yupo yupo tu. Hivi kweli mpenzi wako anavaa unamwona alafu unamsifia wakati kapiga bra tu?
Kwa ujumla ni rahisi kuwa star ila ni vigumu sana kuendelea kuwa celebrity (ku-maintain) na hili linasababishwa na wasanii kutokuwa na washauri hasa waliosomea sychology si kana kwamba hawapo ila wanaogopa gharama.

Hivi kweli kabisa unafikiri mtu kama Nuhu anaweza kumshauri lolote Shilole? Unatakiwa kujua kuwa Nuhu anazidiwa kila kitu na shilole hata uwezo wa kufikiri +uchumi....sasa mtu akikuzidi vitu hivi ni ngumu kumshauri na akasikiliza ushauri wako!

Nuhu hana tofauti na mtoto aliye maliza darasa la saba...!
 
Hahahaaa...

Una muda gani humu Jf:what:

Point zako hazina mashiko wala direction , unashabikia upuuzi tuu bila kujua undani wa mambo.

Nenda kwanza kafute uanachama wa shilole BASATA Ndo uje na ushabiki wako hapa.

Basata na wewe wote mnamtazamo chanya. Hivyo vigodoro hawavioni, wamemuona Shilole tu. Na kama maadili kubadilika ni miaka mingi na sio Shilole.
 
Basata na wewe wote mnamtazamo chanya. Hivyo vigodoro hawavioni, wamemuona Shilole tu. Na kama maadili kubadilika ni miaka mingi na sio Shilole.


Mwanzo nilikuambia huna point..sasa basi

Nini maana ya mtazamo chanya?
 
Wivu tu unakusumbua, huna lolote mwenzako anatengeneza pesa wewe kaa uumie na roho yako ya mbaya.

Mkuu kabla ya kuendelea na huu mjadala unatakiwa kujua mtu akiamua kuingia na kujisajili na chama fulani ujue amekubaliana na sheria za chama husika!
Hivyo basi kwakuwa shilole alijisajili Basata basi alikubali kufata sheria husika za Basata na ndio maana Shilole alipo onywa aliahidi kubadilika hivyo ni wazi kama kashindwa kutimiza aliyo ahidi na kufata sheria alizo zikubali ana stahili kupewa adhabu!
 
Wew si unauza papuchi? kwanini IQ ndio itakugegeda?

Papuchi ni yangu nitaiuza na kuionyesha ninavyotaka na hamna wa kunihukumu hapa duniani. Ni Mungu tu ndio wakunihukumu na nyinyi mngojee hukumu zenu. Acheni kuhukumu sio kazi yenu.
 
From know stop internet in your country cause many peoples get bad stuff from it. This will be a good way.

Nadhani umesikia au umesoma kuhusu mtambo uliozinduliwa leo kufuatilia uchafu kwenye mitandao hivyo usijali mchujo unakuja ingawa ni mchungu
 
Nadhani umesikia au umesoma kuhusu mtambo uliozinduliwa leo kufuatilia uchafu kwenye mitandao hivyo usijali mchujo unakuja ingawa ni mchungu

Na uache kutizama picha za ngono kwenye mitandao ndio maana unapatwa na mfadhaiko unapoona nyonyo za watu.
 
Back
Top Bottom