Wewe unaangalia miguuni pako , angalia mbele
Basata wataanza kumfungia huyo pimbi mwenzako, wakimaliza kova atakuwa ameshakughulikia kwa udanguro wako.
Nikuone wivu kwa kujidhalilisha. :what:
Ni dhahiri kuwa umeishiwa hoja lala maana unataka kuleta matusi sasa. Umesema mamiss wanakaa uchi nikakwambia weka picha sasa dada yangu anakujaje humu?
wtf....!!
Mfyuuuu
Wauza nyapu utawajua tu..
Hizo shughuli za kiuchumi unazotetea ni zipi hizo, ni hizo za kuuza nyapu sio?
Na huyo Shilole ana kitu gani hasa cha kufanya majority wanaopitia uzi huu waone kachemka.. Au ni hiyo ndala, kuperform kwenyewe ana perform sebuleni, ana Tsh ngapi benki tumuonee wivu?
Maana umeng'ang'ana na wivu wivu.. Unayongea hayana mashiko, kajipange upya.
Shilole ndugu yako?
kwa hiyo kuonesha Yale manyonyo meusi kama ugoko wa Shadraki Nsajigwa ni sawa kisa anaingiza hela?
Hivi wewe unaakili kweli, kwani yakiwa meusi ni yako nsi ya kwake nakama aibu nsi ya kwake, wewe hasira za nini, kama humpendi usiende kwenye shoo zake hata nyimbo zake usisikilize.
Mimi huku ni saa 04:43pm, ndio jioni sina usingizi kama wewe huko usiku wa manane.
Au wewe una uchi nini ndio maana unaonea wivu uchi wa mwenzako, hivi hujisikii vibaya unavyodai haki kwa uchi wa mwenzako, uchi wako kama umeufunika ni sawa acha mwenzako aonyeshe.
Hivi wewe unaakili kweli, kwani yakiwa meusi ni yako nsi ya kwake nakama aibu nsi ya kwake, wewe hasira za nini, kama humpendi usiende kwenye shoo zake hata nyimbo zake usisikilize.
Basata hawana lolote mbona hata huku Tanzania alikuwa anacheza hivyo, hiyo ni chuki ya watanzania wanaoishi ughaibuni kujidai wanajua kulinda mila na desturi za kitanzania wakati wao ndio wanaiga mambo ya ughaibuni, huo wote ni wivu, wamuache ajitafutie pesa hiyo ni biashara hakuna mtu atakayemsaidia shida zake, mimi nasema aendelee aonyeshe mpaka papuchi ni mali yake.
Hawa ndio wanapolomosha thamani ya maungo ya mwanamke
Tunazungumzia maadili ya nchi, kwa hiyo wengine kwa sababu hawana usajili wa basata ndio wasifuste maadili ya nchi yao, basi huo ni upuuzi na vigodoro kwani sio sanaa.
Sema basata labda walinyimwa .....
Ni wajibu wa kila Mtanzania kulinda maadili yake.. Kaanzia ktk ngazi ya familia. Wewe usiangalie maadili ya watoto wako usubiri Basata waje wakutizamie.
Mydia.. Elewa lugha, Basata wanahusika na shilole kwa sababu yeye ni msanii, na wao ni mamlaka inayosimamia sanaa kwa mujibu wa Sheria. Yeyote anayefanya kinyume na maadili ambaye si msanii hutawasikia wakijihusisha, na zaidi ya hayo shilole angefanya hayo nje ya jukwaa huenda wasingembuguz as ni maisha yake... Ktk hili alikuwa kazin, kazi ya sanaa.. Na kila kazi ina maadili na taratibu zake. Na uzuri.. Mkuu Ruttashobolwa alishakutajia baadhi ya masharti ya kibali alichonacho.
Vigodoro ni sanaa? Jaribu kutafuta maana ya sanaa then utajua kama ni sanaa au ni mashikoro gani
Yaani mimi nisikilize nyimbo za huyo kichaa??
Tena Na show zake nihudhurie??
kweli nitakuwa mwenda wazimu!!!!!
sasa Wewe mtetee ,huko basata anakula ban
Hawa ndio wanapolomosha thamani ya maungo ya mwanamke
isupport youKwa hiyo na shoo ya Shilole kulikuwa kuna watu chini ya miaka 18, na unauhakika wanaotizama ngona Tanzania ni chini ya miaka 18. Hao watoto wanaofanya ngono chini ya umri walimuona Shilole.
Mimi nafikiri utafute kitu cha kufanya ili uache upuuzi wa kufuatilia vitu ambavyo havitakujenga kimaisha.
Jamani Basata hilo ni uonevu huo ni mwili wake ana haki ya kuutumia anavyotaka mmemuona Shilole tu, kigodolo hamjakiona mpaka mnamuadhibu shilole!
Soma taarifa kwanza kabla ya kujump ktk kuongea
Unaambiwa Shilole ni msanii aliesajiliwa BASATA , kigodoro nao wamesajiliwa ????
Usitetee upuuzi kwanza umri wa Shilole ni mkubwa huwezi mfananisha na Vanesa but atleast wenzake wanaonyesha ustaarabu fulani.
Yeye sifa na kujifanya bado kibinti wakati mama wa watoto kibao
sehemu zenyewe zimepwelepweta badala kuzisitiri analeta usista du.
hao kina Biyonce wenyewe anaowaiga hawayafanyi hayo.