tshabalala_the_greto
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 452
- 229
Wanahisa tupo njia panda...hisa zake haziuziki tena...hatujui hatma ya pesa zetu tulizowekeza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una his a ngapi na unaziuzaje;?Wanahisa tupo njia panda...hisa zake haziuziki tena...hatujui hatma ya pesa zetu tulizowekeza.
Una his a ngapi na unaziuzaje;?
Huu n dio wakati wa kununua hisa za Precision kama wewe ni mjasiriamali mzuri maana zimeshuka bei, check plan za shirika kama zipo ok nunua hisa (amua ku-take risk lakini) after some time wakiwa vizuri tena watu wataanza kuzihitaji zitapanda bei sana hapo ndo utakapokula bingo.
acha utapeli wewe yani mtu uinvest kwenye kampuni ambayo inataka kufa by the way precision air wameomba mkopo serikalini kwa ajili ya kubost kampuni tujiulize nin kitatokea wakinywima huo mkopo na serikali!!!!!
Wanahisa tupo njia panda...hisa zake haziuziki tena...hatujui hatma ya pesa zetu tulizowekeza.