Hatma ya wanahisa precision air plc

Hatma ya wanahisa precision air plc

pole wadau, tatizo letu tunawaona wakenya ni bora kuliko wabongo.
 
ndo waliweka mpango wa miaka 5 kuimarisha kampuni ili ije kujenga faida! tuone huu mwaka kama itapata tena hasara au tutapewa gawio la faida!
 
Mpango wa miaka 5 wapi mkuu?!nackia shirika lina hali mbaya tena linapumulia mashine..nimeckia tetesi eti wanashughulikia mkopo serikalini ili kunusuru shirika lisife
 
Huu n dio wakati wa kununua hisa za Precision kama wewe ni mjasiriamali mzuri maana zimeshuka bei, check plan za shirika kama zipo ok nunua hisa (amua ku-take risk lakini) after some time wakiwa vizuri tena watu wataanza kuzihitaji zitapanda bei sana hapo ndo utakapokula bingo.
 
acha utapeli wewe yani mtu uinvest kwenye kampuni ambayo inataka kufa by the way precision air wameomba mkopo serikalini kwa ajili ya kubost kampuni tujiulize nin kitatokea wakinywima huo mkopo na serikali!!!!!
 
Wewe unajua biashara kweli? If you dont like risks, go to risk free investments with small returns.
 
Wanahisa tupo njia panda...hisa zake haziuziki tena...hatujui hatma ya pesa zetu tulizowekeza.

Kinachonishangaza pale ofisini kwao airport naona wapo wawili tu dada mmoja na kaka mmoja, inaelekea biashara imepata kigugumizi kipindi hiki ingawa watalii wanaongezeka sijaona mabadiliko ya kuongeza kasi, maana wao walipeleka nguvu zaidi kwa watalii.
 
Kwenye prospect hukuona hiki kipengele. Bei ya hisa inaweza kupanda au kushuka?
 
Back
Top Bottom