Hatma ya Zamaradi na Clouds media

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Wambea wenzangu ebu nipeni ubuyu,

Hivi Zamaradi bado yupo Clouds baada ya kuolewa na mission town?

Maana kusema kweli alikua anajua sana kutangaza especially kwenye kipindi cha TAKE ONE na LEO TENA, alikua anapatia kweli. Kama aliacha sasa hivi sijui atakua wapi ila namshauri aende hata AZAM TV kutangaza, maana kipaji anacho.
 
Huyu si ndo yule mdada mrembo tanzania nzima na visiwani. Picha yake si ndo ile aliyokuwa kama kaweka pozi la kushika shavu ehhh.

duhhh umbeya siuwezzi maana nakumbuka picha yake nilikuwa naiwekaga kwenye daftari langu kipindi nipo shule ila kuna mmoja alikuja niibia akaiweka kwenye locker lake naye akaja ibiwa
 
Huyu mdada ni mrembo kiasu chake na wife material....





 
Ila kusema ukweli, huyu cheusi she is not sexy at all.. Yaani sio wa kumvutia mwanaume kabisa aiseee.. Mm sina hata wazo la kumtamani, yaani siwezi hata kidogo kuvutiwa nae haipo, ila ndio hivyo kila mtu na bahati yake.. Yaani mvuto hana kabisa, ukweli utabaki hivyo...
 
[emoji15] [emoji15] Jay one
 
Mpe sifa zake ban a mbona mzuri .
 

Hata mimi naona hivyohivyo...ila kuna kitu hatukijui anacho huyu mdada mpaka watu wanamlilia wakiachwa...wadada ambao sio wazuri kihivyo huwa wanautamu wa ajabu...
 

Bashite anamtafutia kipindi E-FM/E-TV kwa Majizo.
 
Utakuwa na wazo la kumtamani wakati. Hata ile nafasi ya kuonana nae ni mtihani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…