Hatma ya Zamaradi na Clouds media

Ukituwekea hapa hiyo picha itapendeza zaidi
 
Hajafukuzwa ila hawez kwenda c kamuacha ruge ambaye ni boss... Mpaka alitishia kunywa sumu
 
Wekeni CV yake , tumpe ajira
CV umeshapewa hapo juu mkuu umeambiwa ni KIPAJI kama vile ukiomba kazi unavyoambiwa tunataka mtu mwenye uzoefu wa miaka kadhaa. Tanzania bana ndio maana naipenda.
 
Mkuu wanawake wembamba wanaraha yake,tena ukimpata fundi,utaelewa kwanini bwana Ruge aliangua kilio.
 
Utakuwa na wazo la kumtamani wakati. Hata ile nafasi ya kuonana nae ni mtihani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Are you new here..? Sbb hunijui ndio maana unaongea.. Mm naweza mchukua mwanamke yeyote, i have everything to my disposal, hata ww naweza nikikuona unanifaa naweza kukufanya fully hawara yangu hadi nikuchoke, then naku release uende kwa akina dogo janja wamalizie.. Am serious..!! But cheusi huyo hanivutii ng'ooo, ukweli mchungu

N.B kama huna chura natural limeshiba tiii tiii tusisumbuane buana..!!πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜΅πŸ™„πŸ™„

 
Huyu c ndo alifanya mahojiano na yule shoga agh alale tu nyumbani hamna namna
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Kweli havutii kabisa,Jina tuu linambeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…