Hatma ya Zamaradi na Clouds media

Hatma ya Zamaradi na Clouds media

Huyu si ndo yule mdada mrembo tanzania nzima na visiwani. Picha yake si ndo ile aliyokuwa kama kaweka pozi la kushika shavu ehhh.

duhhh umbeya siuwezzi maana nakumbuka picha yake nilikuwa naiwekaga kwenye daftari langu kipindi nipo shule ila kuna mmoja alikuja niibia akaiweka kwenye locker lake naye akaja ibiwa
Ukituwekea hapa hiyo picha itapendeza zaidi
 
Wekeni CV yake , tumpe ajira
CV umeshapewa hapo juu mkuu umeambiwa ni KIPAJI kama vile ukiomba kazi unavyoambiwa tunataka mtu mwenye uzoefu wa miaka kadhaa. Tanzania bana ndio maana naipenda.
 
Ila kusema ukweli, huyu cheusi she is not sexy at all.. Yaani sio wa kumvutia mwanaume kabisa aiseee.. Mm sina hata wazo la kumtamani, yaani siwezi hata kidogo kunivutia haipo, ila ndio hivyo kila mtu na bahati yake.. Yaani mvuto hana kabisa, ukweli utabaki hivyo...
Mkuu wanawake wembamba wanaraha yake,tena ukimpata fundi,utaelewa kwanini bwana Ruge aliangua kilio.
 
Utakuwa na wazo la kumtamani wakati. Hata ile nafasi ya kuonana nae ni mtihani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Are you new here..? Sbb hunijui ndio maana unaongea.. Mm naweza mchukua mwanamke yeyote, i have everything to my disposal, hata ww naweza nikikuona unanifaa naweza kukufanya fully hawara yangu hadi nikuchoke, then naku release uende kwa akina dogo janja wamalizie.. Am serious..!! But cheusi huyo hanivutii ng'ooo, ukweli mchungu

N.B kama huna chura natural limeshiba tiii tiii tusisumbuane buana..!!😛😛😵🙄🙄

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Ila kusema ukweli, huyu cheusi she is not sexy at all.. Yaani sio wa kumvutia mwanaume kabisa aiseee.. Mm sina hata wazo la kumtamani, yaani siwezi hata kidogo kuvutiwa nae haipo, ila ndio hivyo kila mtu na bahati yake.. Yaani mvuto hana kabisa, ukweli utabaki hivyo...
Kweli havutii kabisa,Jina tuu linambeba
 
Back
Top Bottom