Haa haa haa huwezi coz unaonekana mtu mwenye huruma sana, ila kaa ukijua huku kwenye kambi ya kiume huwa tunaambiana kuwa mwanamke ukizaa nae hawezi kuwa na ubavu wa kukukataa hata kama umemuacha coz mtoto ndio bond yenu. Eti ni kweli?Hilo jibu kavu linajibiwaje mkuu?
Acha tu my dearHata kama huna roho mbaya shoga usimpe..acha apambane tuu na hali yake halafu hawezi barikiwa hata angekuwa anafanya kazi juu ya anga hizo ni laana na ukimpa utageuzwa bank,hiyo laki tano bora umuwekee mwanao kwenye account itawafaa siku mkikwama,.kuna wanaume hawana haya jamanii khaa!!!
Huyo jamaa mjinga sana, na wewe pia si uliambiwa uitoe. Umeamua kulea mwenyewe lea acha kulia lia, kwa kifupi wote mnashida. Kwa kifupi pambana na hali yako.Habari za weekend wapendwa,
I hope you are all doing great.Mimi ni single mum ambaye nalea mwanangu mwenyewe toka mjamzito.Babake alikataa mimba na kuomba niitoe but niligoma kuuwa kiumbe kisicho na hatia.
Kuna tofauti ya kuwa na huruma na msimamo. Bond inakuepo ukiendekeza but if you decide to move on with your life sidhani kama unaweza endeshwa na hisia kisa mna mtotoHaa haa haa huwezi coz unaonekana mtu mwenye huruma sana, ila kaa ukijua huku kwenye kambi ya kiume huwa tunaambiana kuwa mwanamke ukizaa nae hawezi kuwa na ubavu wa kukukataa hata kama umemuacha coz mtoto ndio bond yenu. Eti ni kweli?
Kushirikishana kupi kwingine unakokutaka?Huendaa jamaa hakuwa tayari kulea mtoto ....
Muwe mnashirikishana kwenye hatua za kubeba ujauzito, sio mnaanza kulialia badae bila sababu ....
Hahaha inaonekana umewatoa mabinti wengi mimba mkuu hence the bitterness..Hakuna sehemu nimeandika kuwa nalilia matumizi. Huyo mtoto ni Wakwangu piaa so ni jukumu langu kumleaHuyo jamaa mjinga sana, na wewe pia si uliambiwa uitoe. Umeamua kulea mwenyewe lea acha kulia lia, kwa kifupi wote mnashida. Kwa kifupi pambana na hali yako.
Nisaidie kuuliza, na hapohapo condom alikataa kuvaaKushirikishana kupi kwingine unakokutaka?
Mtu anavua boxer, anagonga kavu kavu, anapiga bao anakojoa humo humo.
Anarudia hizo process mara kadhaa. Halafu unataka kuaminisha kuwa hakukua na ushirikishwaji wa baba?
Unataka ushirikishwaji upi mwingine mkuu?
Hii jibu lako linatoa taswira namna gani maisha yenu yalivyokuwa hapo kabla na ndio chanzo Cha haya yote yanayo tokea Sasa. Kama uliwahi kumkosea kwa vitu vilivyo mtia wasiwasi basi yaweza kuwa ndio sababu ila naye akaweka hasira zaidi.Mambo ni mengi mkuu ila isiwe sababu ya mtu kushindwa hata kumletea mtoto sukari ya uji..Wanaume kuna wakati wanajiendekeza sanaaaa...Kulea mtoto siyo lazima uwe na mamilioni pia kila mtu ana matatizo isiwe sababu ya kukimbia majukumu..Anyway I am not complaining
Mpwa mbona km unataka kumfanyia kimasihara..[emoji1787][emoji1787]Najua unayo Jay ila umenifanyia makusudi
Kumbuka kua ni Mbegu yangu na yai lako ndivo vimetupatia binti mrembo sana.
Maisha yanabadilika na vitu vinabadilika, mpaka imefikia wakati wa kukuomba unikopeshe utambue yakwamba nmekwama.
Mmh best maisha hayako hivyo, jifikirie mwisho wa hayo yote ni nini?Hata kama huna roho mbaya shoga usimpe..acha apambane tuu na hali yake halafu hawezi barikiwa hata angekuwa anafanya kazi juu ya anga hizo ni laana na ukimpa utageuzwa bank,hiyo laki tano bora umuwekee mwanao kwenye account itawafaa siku mkikwama,.kuna wanaume hawana haya jamanii khaa!!!
Mbona umekimbilia kuuliza hilo mzee au unafanya research ?Vipi ashawahi kuomba mzigo?
Basi hana upendo tena na wewe. Mpotezee .nilidhani amerudisha penzi angalau ningekushauri umfikirie.Hapana
Hapana MjombaMpwa mbona km unataka kumfanyia kimasihara..[emoji1787][emoji1787]
Inawezekana hao kina mama wanasaidiwa na hawa watu wanaolalamika kuhusu ma single mothers kuwasumbua humu wanapigwa vizinga!Mungu baba awabariki sana kina mama wote wanaolea watoto wao bila usaidizi wa baba zao..!!
Samahani mkuu, Siwezi mruhusu mtu kunichezea. Au kuamua kuzaa mtoto ndo kuchezewa? Pili, sikua na mawasiliano nae toka azingue kwenye matumizi so leo kaamua tu kupiga simu kwa shida zake..Muwe mnaelewa kabla hamjaanza kujibu watu kwa hasira..Sijui wanawake wengi kwanini wanapenda kuwa shamba darasa,yaani hatujifunzi na mapito yote aliyokupitisha.Mwanaume akuhudumii kwa chochote still unawasiliana nae hadi unakiri kwamba ungekuwa na hizo pesa ungempea kweli wacha tu akuchezee maana hata hujielewi.Ndo maana mnafanya single maza wazidi kudharaulika.Fungua akili yako wacha kuchekelea huyo fala,Mblock akafie mbali unless unataka akujaze mimba ya pili.