Hatoi matumizi ya mtoto, kaomba nimkopeshe pesa

Block and unblock ni swala la kawaida sana kwa wapendanao kbongobongo....na inaonesha bado una mapenzi makubwa na mshkaj,maisha n kusaidiana,we mtoe tu io 500k afu usikilizie,inawezekana Mungu ndo kapanga njia ya kumrudisha kwako...who knows?
 
Habari za weekend wapendwa,

I hope you are all doing great.Mimi ni single mum ambaye nalea mwanangu mwenyewe toka mjamzito.Babake alikataa mimba na kuomba niitoe but niligoma kuuwa kiumbe kisicho na hatia.

Inasikitisha sana,Pole kwa changamoto,kama anakazi nzuri inakuwaje ashindwe kumlea mtoto au kuna sehemu CD imeruka?
 
Wewe mpe tu kwasababu amekuona punguwani, wanaume wengine husababisha wanaume wote tuonekane hamnazo.
 
Ulikosea Sana , the power you grant the power you receive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…