Hatoi mbususu ila pesa anaomba

Hatoi mbususu ila pesa anaomba

Dhariz toxic relation unakomaa na ke bila hatua yeyote mda mrefu hvyo utadhani muhula wa awamu ya urais
 
Actually that time alikua amegraduate o level kaanza chuo diploma
That's y,kaona mmeshajuana muda mrefu halafu hamna uelekeo,saivi yuko kwenye umri wa kutafuta mume sasa,ndomana anakunyima mbususu,peleka posa kwao ashafuzu huyo
 
That's y,kaona mmeshajuana muda mrefu halafu hamna uelekeo,saivi yuko kwenye umri wa kutafuta mume sasa,ndomana anakunyima mbususu,peleka posa kwao ashafuzu huyo
Aise inabidi niachane na hii kampeni ya kataa ndoa naona itanipotezea huyu mtoto cecy
 
Kazi iende na dawa hata pesa iende na huduma unayopokea.

Huyu ni mwanadada mmoja tulianza mahusiano late 2015 hakua na mbambamba, she gave everything and everytime alikua na uwezo wa kusafiri kunifuata nilipo tunapokumbukana that was so sweet kiukweli.

Sasa mambo yalianza kubadilika mapema 2019 mbususu hatoi, Kwa sababu zisizo za msingi yaani mtu anaamua tu kubana miguu na tulikua kwenye hatua nzuri tu
Ila kwenye suala la kuomba pesa anadai kama wale jamaa wa branch au tala🤣

Nikakomaa mwaka mzima ukapita bila bila no sex no Nini 😱😱 basi ikabidi taratibu nianze kujiengua pili nianze kusitisha zile huduma zote hasa pesa mpaka Sasa sijapata mbususu yake huyu parasite toka 2019 na tunawasiliana kama kawaida ila si kama zamani.
Saizi najiona kama ndo napambania kombe sana kuliko yeye😀 huku yeye akiwa Hana habari 😓 meli inaelekea kuzama maana.
Sitadaiwa Kwa kupoteza mda wake I really have to move on

Huyu ni katika wanawake nilimpenda sana nae alinipenda zaidi ila bila mbususu hayo mahusiano ni batili nawasilisha.
Mahusiano hayo ni batili mkuu

Sisi kama kamati tendaji tumepokea ripoti na na tunashauri huduma zote zisitishwe mara moya
 
Back
Top Bottom