Hatoi mbususu ila pesa anaomba

Dhariz toxic relation unakomaa na ke bila hatua yeyote mda mrefu hvyo utadhani muhula wa awamu ya urais
 
Actually that time alikua amegraduate o level kaanza chuo diploma
That's y,kaona mmeshajuana muda mrefu halafu hamna uelekeo,saivi yuko kwenye umri wa kutafuta mume sasa,ndomana anakunyima mbususu,peleka posa kwao ashafuzu huyo
 
That's y,kaona mmeshajuana muda mrefu halafu hamna uelekeo,saivi yuko kwenye umri wa kutafuta mume sasa,ndomana anakunyima mbususu,peleka posa kwao ashafuzu huyo
Aise inabidi niachane na hii kampeni ya kataa ndoa naona itanipotezea huyu mtoto cecy
 
Mahusiano hayo ni batili mkuu

Sisi kama kamati tendaji tumepokea ripoti na na tunashauri huduma zote zisitishwe mara moya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…