Umeongeo pumba sanaMimi nimeziba masikio na nimeamua kuwa chura kiziwi.
Wapo wanaodhani watanisema mpk ninyooshe mikono juu niseme Sasa basi! "Hii itakuwa serikali ama serikali ya samaki"? Alimaliza kwa kuwashangaa.
Ukizichsmbua kauli hizo utaona ya kwamba ana moyo wa chuma. Na hivyo tusitarajie atatishika kwa kauli za upolepole toka kwa Polepole.
1. Kwani Museni anapendwa na waganda walio wengi?
2. Kwani Kagame anapendwa na wanyarwanda walio wengi?
3. Kwani Paul Bia anapendwa na waCameroon walio wengi?
Wengi wenu kutokumpenda wala siyo kigezo cha yeye kubanduka.
Na ndiyo maana anaendekeza kuchapa kazi kama kawaida.
Akifikia hatua hiyo naamini atatoka Ikulu kwa miguu na huo ufupi wake; Tanganyika siyo kwake wala kwa mama yake asituzoeeMimi nimeziba masikio na nimeamua kuwa chura kiziwi.
Wapo wanaodhani watanisema mpk ninyooshe mikono juu niseme Sasa basi! "Hii itakuwa serikali ama serikali ya samaki"? Alimaliza kwa kuwashangaa.
Ukizichsmbua kauli hizo utaona ya kwamba ana moyo wa chuma. Na hivyo tusitarajie atatishika kwa kauli za upolepole toka kwa Polepole.
1. Kwani Museni anapendwa na waganda walio wengi?
2. Kwani Kagame anapendwa na wanyarwanda walio wengi?
3. Kwani Paul Bia anapendwa na waCameroon walio wengi?
Wengi wenu kutokumpenda wala siyo kigezo cha yeye kubanduka.
Na ndiyo maana anaendekeza kuchapa kazi kama kawaida.
Kagame ni dikteta. Bora ya Samia kuliko Kagame. Ameua wapinzani wake wote na kuwafilisi pamoja na kuwatia magerezani.Usipende kumweka Rais Paul Kagame kwenye ujinga wako. Punguza kuropoka ropoka. Eti Kagame hapendwi na wanyarwanda walio wengi. Unamlinganisha Kagama na huyo bibi yako?. Kagame kaifufua Rwanda ilivyokuwa imekufa na kudharaulika. Punguza kuongea usilolijua.
Nani wa kumtoa wakati wakuu wa vyombo vya jikoni wanakula vinono? Kama Camilius ana bilioni 50 kwenye akaunti, vipi yule bosi wa tpdf?Akifikia hatua hiyo naamini atatoka Ikulu kwa miguu na huo ufupi wake; Tanganyika siyo kwake wala kwa mama yake asituzoee
Kosa halitakuwa lake! Kwa kweli kabisa hapo kosa sasa litakuwa kwa TISS kukubali kutumika kama toilet paper!Mimi nimeziba masikio na nimeamua kuwa chura kiziwi.
Wapo wanaodhani watanisema mpk ninyooshe mikono juu niseme Sasa basi! "Hii itakuwa serikali ama serikali ya samaki"? Alimaliza kwa kuwashangaa.
Ukizichsmbua kauli hizo utaona ya kwamba ana moyo wa chuma. Na hivyo tusitarajie atatishika kwa kauli za upolepole toka kwa Polepole.
1. Kwani Museni anapendwa na waganda walio wengi?
2. Kwani Kagame anapendwa na wanyarwanda walio wengi?
3. Kwani Paul Bia anapendwa na waCameroon walio wengi?
Wengi wenu kutokumpenda wala siyo kigezo cha yeye kubanduka.
Na ndiyo maana anaendekeza kuchapa kazi kama kawaida.
Kazungukwa na teeth badala ya TISS. Hao teeth ni vibaraka na machawa tupu.Kosa halitakuwa lake! Kwa kweli kabisa hapo kosa sasa litakuwa kwa TISS kukubali kutumika kama toilet paper!
Natamani pawepo mmoja tu mwenye akili pale TISS atakayetuondolea kadhia hii!
Mimi nimeziba masikio na nimeamua kuwa chura kiziwi.
Wapo wanaodhani watanisema mpk ninyooshe mikono juu niseme Sasa basi! "Hii itakuwa serikali ama serikali ya samaki"? Alimaliza kwa kuwashangaa.
Ukizichsmbua kauli hizo utaona ya kwamba ana moyo wa chuma. Na hivyo tusitarajie atatishika kwa kauli za upolepole toka kwa Polepole.
1. Kwani Museni anapendwa na waganda walio wengi?
2. Kwani Kagame anapendwa na wanyarwanda walio wengi?
3. Kwani Paul Bia anapendwa na waCameroon walio wengi?
Wengi wenu kutokumpenda wala siyo kigezo cha yeye kubanduka.
Na ndiyo maana anaendekeza kuchapa kazi kama kawaida.
Weka ata kavideo tuone alivo ongea😁Mimi nimeziba masikio na nimeamua kuwa chura kiziwi.
Wapo wanaodhani watanisema mpk ninyooshe mikono juu niseme Sasa basi! "Hii itakuwa serikali ama serikali ya samaki"? Alimaliza kwa kuwashangaa.
Ukizichsmbua kauli hizo utaona ya kwamba ana moyo wa chuma. Na hivyo tusitarajie atatishika kwa kauli za upolepole toka kwa Polepole.
1. Kwani Museni anapendwa na waganda walio wengi?
2. Kwani Kagame anapendwa na wanyarwanda walio wengi?
3. Kwani Paul Bia anapendwa na waCameroon walio wengi?
Wengi wenu kutokumpenda wala siyo kigezo cha yeye kubanduka.
Na ndiyo maana anaendekeza kuchapa kazi kama kawaida.
Inasemekana Nchimbi atawekwa pembeni na mwenza mpya atateuliwa.Tutaona
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURANi kweli!
Ndio maana mi hapo oktoba nikikuta jina kwa balot paper nitatiki kama kawaida!!
Kinachonikera ni kwamba Tanzania kama taifa linampa mtu dola madaraka halafu badae anaonekana hafai na wao wanaona kweli hafai,Sasa kama hafai kwanini mlimpitisha!!?maana yake na nyie hamfai coz mmepitisha kisichofaa!!!!
System lazima iwajibike kama system kuliko kiwajibisha mtu,kama mtu kashindwa kufikia malengo ya system kwanini asitolewe mapema kabla hajaharibu na kukuza deni la taifa ambalo litakula Hadi vitukuu na vilembwe!!?
Mama kashikilia usukani kwa uthabiti hasa!Mimi nimeziba masikio na nimeamua kuwa chura kiziwi.
Wapo wanaodhani watanisema mpk ninyooshe mikono juu niseme Sasa basi! "Hii itakuwa serikali ama serikali ya samaki"? Alimaliza kwa kuwashangaa.
Ukizichsmbua kauli hizo utaona ya kwamba ana moyo wa chuma. Na hivyo tusitarajie atatishika kwa kauli za upolepole toka kwa Polepole.
1. Kwani Museni anapendwa na waganda walio wengi?
2. Kwani Kagame anapendwa na wanyarwanda walio wengi?
3. Kwani Paul Bia anapendwa na waCameroon walio wengi?
Wengi wenu kutokumpenda wala siyo kigezo cha yeye kubanduka.
Na ndiyo maana anaendekeza kuchapa kazi kama kawaida.
NGOMBE KABISA, WATANZANIA WOTE TUNAKWENDA KU -TIKI ✔️ TENA BILA HOFU YA AINA YOYOTE,UKILETA FUJO TUNAVUNJA MIGUU.OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
NO REFORMS NO ELECTIONS
Watanzania na system yao wanafiki tuNi kweli!