GE2025 Hatoki! Mtasema mtachoka lkn hatoki. Aliwahi kusema "hii siyo serikali ya samaki"

GE2025 Hatoki! Mtasema mtachoka lkn hatoki. Aliwahi kusema "hii siyo serikali ya samaki"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mimi nimeziba masikio na nimeamua kuwa chura kiziwi.

Wapo wanaodhani watanisema mpk ninyooshe mikono juu niseme Sasa basi! "Hii itakuwa serikali ama serikali ya samaki"? Alimaliza kwa kuwashangaa.

Ukizichsmbua kauli hizo utaona ya kwamba ana moyo wa chuma. Na hivyo tusitarajie atatishika kwa kauli za upolepole toka kwa Polepole.

1. Kwani Museni anapendwa na waganda walio wengi?
2. Kwani Kagame anapendwa na wanyarwanda walio wengi?
3. Kwani Paul Bia anapendwa na waCameroon walio wengi?

Wengi wenu kutokumpenda wala siyo kigezo cha yeye kubanduka.

Na ndiyo maana anaendekeza kuchapa kazi kama kawaida.
SSH hawezi Toka sababu za kelele za punguani na wapumbavu wachache.

She is here to stay Hadi 2030 mwenye jeuri anitokeze kumtoa tumuone
 
Kazungukwa na teeth badala ya tissue. Hao teeth ni vibaraka na machawa tupu.
Watoke bwana! Viongozi TISS nao wanapaswa kupinduliwa!! TISS inapaswa iwe huru na isiwe taasisi inayofanya kazi kwa maslahi ya kiongozi fulani!
 
Mpk mseme!! Kimeumana!!
Kazi ni kipimo cha utu
 
Usipende kumweka Rais Paul Kagame kwenye ujinga wako. Punguza kuropoka ropoka. Eti Kagame hapendwi na wanyarwanda walio wengi. Unamlinganisha Kagama na huyo bibi yako?. Kagame kaifufua Rwanda ilivyokuwa imekufa na kudharaulika. Punguza kuongea usilolijua.
We banyamulenge yule skeleton wenu anaongoza kawilaya ndogo kuliko wilaya ya Sikonge unamlinganishaje na Rais anayeongoza great nation like Tanzania? We kibwengo kwanza uache kufuatilia mambo ya nchi yetu, tukikubamba huna bahati. Kenge we
 
Back
Top Bottom