ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
SSH hawezi Toka sababu za kelele za punguani na wapumbavu wachache.Mimi nimeziba masikio na nimeamua kuwa chura kiziwi.
Wapo wanaodhani watanisema mpk ninyooshe mikono juu niseme Sasa basi! "Hii itakuwa serikali ama serikali ya samaki"? Alimaliza kwa kuwashangaa.
Ukizichsmbua kauli hizo utaona ya kwamba ana moyo wa chuma. Na hivyo tusitarajie atatishika kwa kauli za upolepole toka kwa Polepole.
1. Kwani Museni anapendwa na waganda walio wengi?
2. Kwani Kagame anapendwa na wanyarwanda walio wengi?
3. Kwani Paul Bia anapendwa na waCameroon walio wengi?
Wengi wenu kutokumpenda wala siyo kigezo cha yeye kubanduka.
Na ndiyo maana anaendekeza kuchapa kazi kama kawaida.
Watoke bwana! Viongozi TISS nao wanapaswa kupinduliwa!! TISS inapaswa iwe huru na isiwe taasisi inayofanya kazi kwa maslahi ya kiongozi fulani!Kazungukwa na teeth badala ya tissue. Hao teeth ni vibaraka na machawa tupu.
Wanaompa nguvu na kiburi ni mijitu mijinga kama wewe!SSH hawezi Toka sababu za kelele za punguani na wapumbavu wachache.
She is here to stay Hadi 2030 mwenye jeuri anitokeze kumtoa tumuone
View attachment 3418643
Nikiwa mjinga wewe punguani inanisaidia nini?Wanaompa nguvu na kiburi ni mijitu mijinga kama wewe!
We banyamulenge yule skeleton wenu anaongoza kawilaya ndogo kuliko wilaya ya Sikonge unamlinganishaje na Rais anayeongoza great nation like Tanzania? We kibwengo kwanza uache kufuatilia mambo ya nchi yetu, tukikubamba huna bahati. Kenge weUsipende kumweka Rais Paul Kagame kwenye ujinga wako. Punguza kuropoka ropoka. Eti Kagame hapendwi na wanyarwanda walio wengi. Unamlinganisha Kagama na huyo bibi yako?. Kagame kaifufua Rwanda ilivyokuwa imekufa na kudharaulika. Punguza kuongea usilolijua.
Hakuna nyumbu wa kijani, rangi ya nyumbu inajulikanaTatizo nyumbu za kijani akili hazina kabisa, sasa hivi zinaumilia moyoni. Tulieni vichwa maji nyie
Asante sana mkuu kwa video hiiSSH hawezi Toka sababu za kelele za punguani na wapumbavu wachache.
She is here to stay Hadi 2030 mwenye jeuri anitokeze kumtoa tumuone
View attachment 3418643