NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Hattrick sio mpirani na Ndoani pia ipo.!! ndivyo unavyoweza kusema baada ya Haji Manara Leo kuongeza mke mwingine wa 3 bint anaitwa Rushaynah Athumani.Kumbuka.
Kwa utamaduni wa kiafrika walizoishi mababy zetu na kwa dini ya kiislam inaruhusiwa kuoa hata wake wanne kwa sababu wanaume wengi hasa sisi waafrika hatutosheki na mwanamke mmoja,
Huwa nashangaa huku kwengine maandiko yameruhusu kuongeza mke na hata manabii waliishi na wake zao kwa baraka zote za mwenyezi Mungu lakini ajabu siku hizi viongozi wa dini wanawabana wanaume kuoa mke mmoja tu kwa kuyapiga sarakasi maandiko, matokeo yake wanaume hawa waliobanwa wanazini nje ya ndoa kwa kuongeza michepuko ambayo wengine wamewapangia nyumba na watoto wamezaa nao.
Ni heri kuongeza mke kuliko kuzini na michepuko.