Hattrick ⚽⚽⚽, Haji Manara aongeza mke wa tatu

Hattrick ⚽⚽⚽, Haji Manara aongeza mke wa tatu

Dada mbona hukuniambia mapema kuwa kuna mrembo sehemu tumfanhe namba mbili?
[emoji1][emoji1]kaka angu huyu bwana maji marefu angekutia stress tu,nn hakika mobeto anahusika na Hii ndoa maana ni mtu wa karibuu yake huyu Rushaynah ,yaani Hii kama sio pasi ya goli sijui yaani!
Ila Manara Ana Pesa Sasa hivi halafu sio mnyimi haji ukiwa karibuu nae unakula vzr tu
 
Kwa mwaka ndoa mbili? Hii sunna ya kuoa waislam wanaipenda kuliko kuswali
Sana.Ramadhami ikiisha mfano ana wake wanne idadi imeshatimia anatoa talaka kwa wawili kiislamu analeta vijana wapya wawili

Kwa mwanaume wa kiislamu hadi kanakufa aweza kuwa na wake waliopitia ndoa halali 20 mkononi mwake cha msingi at any point of time awe na wanne
 
[emoji1][emoji1]kaka angu huyu bwana maji marefu angekutia stress tu,nn hakika mobeto anahusika na Hii ndoa maana ni mtu wa karibuu yake huyu Rushaynah ,yaani Hii kama sio pasi ya goli sijui yaani!
Ila Manara Ana Pesa Sasa hivi halafu sio mnyimi haji ukiwa karibuu nae unakula vzr tu
Dada yangu wewe kwa habari za mjini nakuaminia.

Soon tutaanzisha chombo chetu cha habari.
 
Daaah...Rushaynah jamani!kwelii Pesa mwana kharamu...na alivyo mremboo!!
Ila mashallah muache atimize Sunnah
Ndoa ilifanyikia dar au tanga nipe abc niunganishe dot.
Mkuu
 
Jana kuna Padri kapandishwa kizimbani Kwa kulawiti watoto 9.

Hapo Nani mzinzi Bora hao wengine dini Yao imewaruhusu kuongezea Hadi WA nne.

Kuliko kwenda kuzini nje halafu jioni unarudi Kwa mke wako Mmoja, Bora hao wanaooa.
Wewe umeyaona ya Jana tu na ya yule ustadhi aliyelawiti watoto 22 hukuyaona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom