Hattrick ⚽⚽⚽, Haji Manara aongeza mke wa tatu

Hattrick ⚽⚽⚽, Haji Manara aongeza mke wa tatu

[emoji1][emoji1]kaka angu huyu bwana maji marefu angekutia stress tu,nn hakika mobeto anahusika na Hii ndoa maana ni mtu wa karibuu yake huyu Rushaynah ,yaani Hii kama sio pasi ya goli sijui yaani!
Ila Manara Ana Pesa Sasa hivi halafu sio mnyimi haji ukiwa karibuu nae unakula vzr tu
Haji asubiri kupigwa tukio Kama sio matukio...ni swala la mda tu,kuoa kunahitaji evaluation and analysis!
 
Wake wa tatu ina maana akipumzika siku moja moja anakuja kumrudia wa kwanza baada ya siku nne.

Aisee inabidi awe anakula vizuri na kutokuwa na stress ili mwili uwe na nguvu.
 
Hata peponi tutaoa pia huku nyinyi mnaimba mapambio sisi tunaburidika na warembo wazuri wazuri na nguvu ya tendo tutaongezewa hamna haja ya Mkongo kule
Wakati huo wanawake wa huku duniani watakuwa wanafanya nini?
 
[emoji1][emoji1]kaka angu huyu bwana maji marefu angekutia stress tu,nn hakika mobeto anahusika na Hii ndoa maana ni mtu wa karibuu yake huyu Rushaynah ,yaani Hii kama sio pasi ya goli sijui yaani!
Ila Manara Ana Pesa Sasa hivi halafu sio mnyimi haji ukiwa karibuu nae unakula vzr tu

Shoga kumbe huyu rushyna kazaa iyogo
 
Pisi pisi kmmke
Screenshot_20220928-033829.jpg

Mnhh..😘😘
 
Huyu anatafuta kufa kwa pressure mwanamke mmoja tu hakuna rangi utaacha ona mpaka rangi ya ushuzi[emoji41] hao wote [emoji848]
 
Afu anapata wanawake wazuri ila sijui kama wanakaa mana sio kwakuoa huku,,,hongera yake Mungu awajaalie idumu!
Kitengo chake cha scouting kipo vizuri kina sort Mali Safi
 
Yaani mtoto mzuri kweli, anaenda kuwa mke wa 3!! Tena kwa jamaa fulani msema hovyo na mropokaji tu!

Wanawake kuna muda mwingine hata hamueleweki mnataka nini aisee.
Nadhani kamkomoa yogo beats Hapa!aliyezaa nae!kaona ngoja niolewe kabla ya kuwa single mama forever
 
Hattrick sio mpirani na Ndoani pia ipo.!! ndivyo unavyoweza kusema baada ya Haji Manara Leo kuongeza mke mwingine wa 3 bint anaitwa Rushaynah Athumani.Kumbuka.

Kwa utamaduni wa kiafrika walizoishi mababy zetu na kwa dini ya kiislam inaruhusiwa kuoa hata wake wanne kwa sababu wanaume wengi hasa sisi waafrika hatutosheki na mwanamke mmoja,

Huwa nashangaa huku kwengine maandiko yameruhusu kuongeza mke na hata manabii waliishi na wake zao kwa baraka zote za mwenyezi Mungu lakini ajabu siku hizi viongozi wa dini wanawabana wanaume kuoa mke mmoja tu kwa kuyapiga sarakasi maandiko, matokeo yake wanaume hawa waliobanwa wanazini nje ya ndoa kwa kuongeza michepuko ambayo wengine wamewapangia nyumba na watoto wamezaa nao.

Ni heri kuongeza mke kuliko kuzini na michepuko.


View attachment 2369152


View attachment 2369154
Kuna watu wapuuz sana wanafanya uziz kweny mwamfuli wa dini fln siyo sawa kbsa hili

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom