Paka Mbwa Nyau
Member
- Dec 3, 2021
- 23
- 16
Haji asubiri kupigwa tukio Kama sio matukio...ni swala la mda tu,kuoa kunahitaji evaluation and analysis![emoji1][emoji1]kaka angu huyu bwana maji marefu angekutia stress tu,nn hakika mobeto anahusika na Hii ndoa maana ni mtu wa karibuu yake huyu Rushaynah ,yaani Hii kama sio pasi ya goli sijui yaani!
Ila Manara Ana Pesa Sasa hivi halafu sio mnyimi haji ukiwa karibuu nae unakula vzr tu
Manara anamgonga Flavian Matata?Waungwana nipeni mbinu za kumpora uyu mtoto kwa manara[emoji16][emoji16]View attachment 2369464
Wakati huo wanawake wa huku duniani watakuwa wanafanya nini?Hata peponi tutaoa pia huku nyinyi mnaimba mapambio sisi tunaburidika na warembo wazuri wazuri na nguvu ya tendo tutaongezewa hamna haja ya Mkongo kule
[emoji1][emoji1]kaka angu huyu bwana maji marefu angekutia stress tu,nn hakika mobeto anahusika na Hii ndoa maana ni mtu wa karibuu yake huyu Rushaynah ,yaani Hii kama sio pasi ya goli sijui yaani!
Ila Manara Ana Pesa Sasa hivi halafu sio mnyimi haji ukiwa karibuu nae unakula vzr tu
Yaani mtoto mzuri kweli, anaenda kuwa mke wa 3!! Tena kwa jamaa fulani msema hovyo na mropokaji tu!Daaah...Rushaynah jamani!kwelii Pesa mwana kharamu...na alivyo mremboo!!
Ila mashallah muache atimize Sunnah
Kitengo chake cha scouting kipo vizuri kina sort Mali SafiAfu anapata wanawake wazuri ila sijui kama wanakaa mana sio kwakuoa huku,,,hongera yake Mungu awajaalie idumu!
Nadhani kamkomoa yogo beats Hapa!aliyezaa nae!kaona ngoja niolewe kabla ya kuwa single mama foreverYaani mtoto mzuri kweli, anaenda kuwa mke wa 3!! Tena kwa jamaa fulani msema hovyo na mropokaji tu!
Wanawake kuna muda mwingine hata hamueleweki mnataka nini aisee.
Wapi? Lete ushahidiWewe umeyaona ya Jana tu na ya yule ustadhi aliyelawiti watoto 22 hukuyaona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wapuuz sana wanafanya uziz kweny mwamfuli wa dini fln siyo sawa kbsa hiliHattrick sio mpirani na Ndoani pia ipo.!! ndivyo unavyoweza kusema baada ya Haji Manara Leo kuongeza mke mwingine wa 3 bint anaitwa Rushaynah Athumani.Kumbuka.
Kwa utamaduni wa kiafrika walizoishi mababy zetu na kwa dini ya kiislam inaruhusiwa kuoa hata wake wanne kwa sababu wanaume wengi hasa sisi waafrika hatutosheki na mwanamke mmoja,
Huwa nashangaa huku kwengine maandiko yameruhusu kuongeza mke na hata manabii waliishi na wake zao kwa baraka zote za mwenyezi Mungu lakini ajabu siku hizi viongozi wa dini wanawabana wanaume kuoa mke mmoja tu kwa kuyapiga sarakasi maandiko, matokeo yake wanaume hawa waliobanwa wanazini nje ya ndoa kwa kuongeza michepuko ambayo wengine wamewapangia nyumba na watoto wamezaa nao.
Ni heri kuongeza mke kuliko kuzini na michepuko.
View attachment 2369152
View attachment 2369154
🤣🤣🤣 Jf shkamo.Haji asubiri kupigwa tukio Kama sio matukio...ni swala la mda tu,kuoa kunahitaji evaluation and analysis!
InterestingHaji asubiri kupigwa tukio Kama sio matukio...ni swala la mda tu,kuoa kunahitaji evaluation and analysis!