jikuTech
Senior Member
- Apr 9, 2023
- 108
- 159
Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer)
Katika pitapita zangu nimekutana na maelezo kuhusu dark web internet ambayo haiwezi kufikiwa na injini za utafutaji za kawaida, watu wengi wamelezea inavyo tosha kuelewa sehemu hii ya internet, nitakacho kupa hapa ni faida kama haujawahi kuifikia sehemu hii jinsi unavyo weza kuwasha na kuitumia kama kawaida.Kabla ya yote nikupe tahadhali sehemu hiyo kuna vitu vizuri na uovu na hakuna uthibiti wa uovu kama ilivyo internet ya kawaida. Hivyo mtu anatakiwa kuwa makini na kile anacho kitafuta. Inapendekezwa kuwa na kiungo rasmi cha unacho tafuta kabla hauja ingia huko kwani rasmi moja inakuwa na halamu nyingine nyingi.
Nitakueleza hatua za kufuata ili kufanikiwa
Download Tor Browser - Hiki ni kivinjali kinacho kuwezesha kufikia dark web na pindi unapo ingia huko hakuna mtu atajua anuani yako ya kweli, tu , kwa kupitia iyo kivinjali imetengenezwa na vpn ndani ya kubadilisha badilisha location yako kila baada ya muda kidogo. PC- DOWNLOAD HAPA , SIMU- DOWNLOAD HAPA(android) na SIMU- DOWNLOAD HAPA(iOS)
Install na connect browser yako kwenye ufikiaji, ikifunguka utoana neno connect
Hatua ya tatu ni kupata URL za tovuti za huduma mbalimbali huko dark web
→ https://deepweb.net/ .. tovuti hii inaweza kuwa chanzo cha tovuti mbalimbali huko.
→ http://zlibrary24tuxziyiyfr7zd46ytefdqbqd2axkmxm4o5374ptpc52fad.onion tovuti hii ni maktaba ya vitabu vitabu vingi unavyoona vinauzwa huku utavipata bure, tovuti hii ina fake nyingi ila hii hapa ni rasmi. Mfano unaweza kupata vitabu vingi vya dini hapa bure kama vile Torati ya kale sana, vitabu sita vya musa. Vitabu vya programming lugha zote duniani. Historia za watu maarufu kwa lugha ya kiingereza
→ http://hiddenwikiquavqcrqfs72jxurhmk3pzlmu5ucbs7hnyfu24xvt5o3qd.onion hii ni kama inaorodhesha vipengele vingi na tovuti zake.
→ http://xmh57jrknzkhv6y3ls3ubitzfqnkrwxhopf5aygthi7d6rplyvk3noyd.onion hii Torch Search engine maarufu sana huko dark web
Hapo juu ni baadhi ya mwanzo wa kuelewa utofauti wa dark web na standard yetu ya kila siku.
NB: epuka kupakua vitu kama softwares mara nyingi Hackers wanatumia kudukua kifaa chako.sisemi usipakue pakua unacho kiamini lakini kwa hatari yako.
Nilikuwa nisikia ila sikuijua nilivyo dukuliwa na jamaa mmoja sijui ni wa wapi ndio nikahangaika kuwa kama yeye katika harakati hizo nikaijua kwa kiasi flani hii dark web.
Kama unakuwa na swali unaweza kutoa comment yako au kunitumia ujumbe 0682329852.
#JIKUTECHTIPS