amount
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 342
- 553
Kuanza moja nikutumia hisia sehemu ambayo inabidi utumie akili walioanza moja wengi walidondokea pua bora uanze chini kwenda juuu utaepuka mengi feelings huwa zinafanya mtu apite bila kupingwa akat akili ingetumika ingekusaidia ku filter baadhi ya mambo