Hatua 5 wanazopitia watu walioko kwenye mahusiano

Kuanza moja nikutumia hisia sehemu ambayo inabidi utumie akili walioanza moja wengi walidondokea pua bora uanze chini kwenda juuu utaepuka mengi feelings huwa zinafanya mtu apite bila kupingwa akat akili ingetumika ingekusaidia ku filter baadhi ya mambo
 
Kiufupi ni ngumu kuwa commitment bila kustrugle for something brow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…