Peasant educator
JF-Expert Member
- Mar 13, 2020
- 209
- 187
Hakimu au jaji unaweza kumkataa kama una sababu za msingi. Na hakuna hakimu au jaji anatang'ang'ania kesi kama utakua na sababu za msingi za kumkataa.Pole mtoa hoja kwa hali ya sasa kisheria kwa nchi yetu tutaishi na mfumo huu hadi ile generation shujaa itakapo kuja kubadilisha hali hii na hii issue ingekua rahisi mno kama nchi ingekuwa na taasisi imara na zenye kujitegemea maana ungekua na uwezo wa kumkataa judge kusikiliza kesi yako(labda judge ana personal interest kuhusu case yako na hili litasababisha asiamue kwa haki)au ungeweza kumripoti kwenye bodi husika na kama utaishi na kushuhudia judge's wakiomba nafasi hizi(sio kuteuliwa na no 1)kutakuwa na unafuu mkubwa mno.
Nadharia ipo hivyo, na ndicho huyu bwana anachotakiwa kukifanya, kumtaka hakimu/jaji ajitoe, ila kivitendo haipo hivyo, nyakati hizi wanakataa kujitoa hasa kwa kesi za serikali, mfano hoja ni upendeleo katika maamuzi nk wanasema kama hujaridhika una nafasi za kukata rufaa na sio kumtaka yeye ajitoe. Kwa nyakati hizi mahakama imepoteza sana imani kwa wanaoitumia.Hakimu au jaji unaweza kumkataa kama una sababu za msingi. Na hakuna hakimu au jaji anatang'ang'ania kesi kama utakua na sababu za msingi za kumkataa.
Judge kwa kiswahili sijui...Hakimu na Jaji ni watu wawili tofauti sasa basi; Kama ni hakimu wa mahakama ya mwanzo peleka lalamiko mahakama ya wilaya iliyopo hiyo mahakama ya mwanzo, kama ni Hakimu wa mahakama wa wilaya peleka lalamiko kwa jaji mfawidhi wa mahakama kuu iliyopo hiyo wilaya, kama ni jaji peleka lalamiko kwa jaji mfawidhi wa hiyo mahakama kuu katika mahakama hiyo hiyo ambayo kesi yako ipo.
Umeona neno "sababu za msingi" au umeamua tu kujibu. Sababu za msingi zako ukizitoa zitapimwa. Mahakama sio kijiweni utake hakimu au jaji ajitoe eti unasema nimesikia au nimehisi. Au useme simpendi tu nataka ajitoe. Lazima utoe sababu za msingi na uwe na uthibitisho wa hiko unachokisema.Nadharia ipo hivyo, na ndicho huyu bwana anachotakiwa kukifanya, kumtaka hakimu/jaji ajitoe, ila kivitendo haipo hivyo, nyakati hizi wanakataa kujitoa hasa kwa kesi za serikali, mfano hoja ni upendeleo katika maamuzi nk wanasema kama hujaridhika una nafasi za kukata rufaa na sio kumtaka yeye ajitoe. Kwa nyakati hizi mahakama imepoteza sana imani kwa wanaoitumia.
Ni JajiJudge kwa kiswahili sijui...
Kwa mfano sababu za huyu bwana anazozitoa kwamba ameona hakimu/Jaji hatendi haki, ameonaje au amelala akaota? Lazima awe na uthibitisho kwenye hilo analoona inabidi upande wa anaempelekea lalamiko nae aone.Nadharia ipo hivyo, na ndicho huyu bwana anachotakiwa kukifanya, kumtaka hakimu/jaji ajitoe, ila kivitendo haipo hivyo, nyakati hizi wanakataa kujitoa hasa kwa kesi za serikali, mfano hoja ni upendeleo katika maamuzi nk wanasema kama hujaridhika una nafasi za kukata rufaa na sio kumtaka yeye ajitoe. Kwa nyakati hizi mahakama imepoteza sana imani kwa wanaoitumia.
Ndiyo wataacha kuchelewesha kesi!Vijana wanasema sheria ziwe kwa Kiswahili!!!
Nafikiri umenielewa vibaya mpaka kufikiri kuwa nimeamua tu kujibu. Nasema umenielewa vibaya kwa kuwa nilichojibu ni kuunga mkono hoja yako ila nikaongeza na uhalisia wa vitendo kwa nyakati hizi.Umeona neno "sababu za msingi" au umeamua tu kujibu. Sababu za msingi zako ukizitoa zitapimwa. Mahakama sio kijiweni utake hakimu au jaji ajitoe eti unasema nimesikia au nimehisi. Au useme simpendi tu nataka ajitoe. Lazima utoe sababu za msingi na uwe na uthibitisho wa hiko unachokisema. Hakimu au Jaji hatakiwi kujitoa kwasababu tu upande mwingine umemtaka kufanya hivyo bila kuwa na sababu za msingi na zenye uthibitisho
Sawa ndugu katika hakiNafikiri umenielewa vibaya mpaka kufikiri kuwa nimeamua tu kujibu. Nasema umenielewa vibaya kwa kuwa nilichojibu ni kuunga mkono hoja yako ila nikaongeza na uhalisia wa vitendo kwa nyakati hizi.
Busara ni kuwa hakimu au jaji akituhumiwa upendeleo, hata kama hakuna uthibitisho wa huo upendeleo ni vyema ajitoe, lakini uhalisia ndio hawajitoi wakiwa wanakomaa kutaka uthibitisho wa sababu hizo kama wewe unavyoelekeza.
Mwalimu aliposema kiingereza ni kiswahili cha dunia maana yake ni kuwaaambia watanzania kuwa tunahitaji kiingereza kuchangamana na dunia kama tunavyohitaji kiswahili kuchangamana na waswahili wenzetu.Vijana wanasema sheria ziwe kwa Kiswahili!!!
Mku kama ni CMA nipeleke wapiti?Hakimu na Jaji ni watu wawili tofauti sasa basi; Kama ni hakimu wa mahakama ya mwanzo peleka lalamiko mahakama ya wilaya iliyopo hiyo mahakama ya mwanzo, kama ni Hakimu wa mahakama wa wilaya peleka lalamiko kwa jaji mfawidhi wa mahakama kuu iliyopo hiyo wilaya, kama ni jaji peleka lalamiko kwa jaji mfawidhi wa hiyo mahakama kuu katika mahakama hiyo hiyo ambayo kesi yako ipo.
Mfawidhi wa hapoMku kama ni CMA nipeleke wapiti?
Asante siku njema
Asante sana.Mfawidhi wa hapo
Kwa jaji anayejielewa, kile kitendo cha kutuhumiwa tu ni sababu tosha ya kujitoa kwenye kesi hata kama sababu hazijashiba vizuri. Hii ndio sababu inaelezwa kuwa, haki inapaswa ionekane ikiwa inatolewa.Umeona neno "sababu za msingi" au umeamua tu kujibu. Sababu za msingi zako ukizitoa zitapimwa. Mahakama sio kijiweni utake hakimu au jaji ajitoe eti unasema nimesikia au nimehisi. Au useme simpendi tu nataka ajitoe. Lazima utoe sababu za msingi na uwe na uthibitisho wa hiko unachokisema.
Hakimu au Jaji hatakiwi kujitoa kwasababu tu upande mwingine umemtaka kufanya hivyo bila kuwa na sababu za msingi na zenye uthibitisho
Ilo ni matatizo Tanzania, bado kuna upungufu kwenye hizi taasisiIla hakikisha una hela,kwa mifumo yetu ya Sheria ilivyooza,ukishindana na Hawa watu,utaumia,Tena Kama unaishi Kijijini!,ni balaa,Hakimu,mwendesha mashitaka,Mkuu wa kituo,wote Wanakula pamoja,wakiamua kukufiksi,utaumia,unaweza ukakimbia na kuhama Kijiji/mkoa