Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kwa waganga hukujui? Basi muachie Mungu muweza wa yoteSalam wadau,
Nataka kufahamu hatua za kuchukua ukiona hakimu hatendi haki au anachelewesha hukumu kwa makusudi (kutoa ruling ya shauri mahakamani). Kuna hatua zozote za kufata au kureport au ndo hakimu (judge) analindwa na katiba hata kama anafanya kazi kinyume na maadili ya kazi yake either kwa kula rushwa au/na kushinikizwa na kiongozi wa Serekali?
Naomba mchango wenu, nawasilisha.