Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kwa waganga hukujui? Basi muachie Mungu muweza wa yoteSalam wadau,
Nataka kufahamu hatua za kuchukua ukiona hakimu hatendi haki au anachelewesha hukumu kwa makusudi (kutoa ruling ya shauri mahakamani). Kuna hatua zozote za kufata au kureport au ndo hakimu (judge) analindwa na katiba hata kama anafanya kazi kinyume na maadili ya kazi yake either kwa kula rushwa au/na kushinikizwa na kiongozi wa Serekali?
Naomba mchango wenu, nawasilisha.
Hahaha, sikujui aise nipe connection em. Ila jaji anarogeka?Kwa waganga hukujui? Basi muachie Mungu muweza wa yote
Ruling inaweza kusomwa hata kama haupo.Nasubiri tarehe ya 4 ya kusikiliza ruling ya PO tu, nikipewa tarehe nyengine I spill the beans, sijii km itakw na impact or not but I'm sick and tired of this stupid cort, kila siku to and fro as if watu hawana maisha
Nina wasiwasi na usahihi wa namna ulivyotumia hayo maneno "I spill the beans". Ni siri gani utaivujisha kama hiyo ruling haitasomwa?Nasubiri tarehe ya 4 ya kusikiliza ruling ya PO tu, nikipewa tarehe nyengine I spill the beans, sijii km itakw na impact or not but I'm sick and tired of this stupid cort, kila siku to and fro as if watu hawana maisha
Watu wanaroga mavi hadi yanakuwa mbolea.Hahaha, sikujui aise nipe connection em. Ila jaji anarogeka?