Hatua gani utachukua ukigundua mke/mume wako anachepuka?

Hatua gani utachukua ukigundua mke/mume wako anachepuka?

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Binafsi ntazingatia yafuatayo:

Je, nimelipa mahali kwao?
Je, mimi ninachepuka?
Je, mahali ni kiasi gani nilizotoa
Je, tumezaa watoto?
Je, tuna mali kiasi gani?
Je, huyo bwana namfahamu?

NB: Baada ya kuzingatia hayo ntaanza mchakato wa kumdanganya tuuze mali kwa kumuaminisha kama kuna inshu kubwa tunataka kufanya akiingia king kaliwa kichwa.

Bwana yake lazima afe wala haitojulikana kilichomuua,tena itachukua muda kulifanya hilo zoezi wala hata mimi hatoniona kwenye tukio. Ni mwendo wa sumu tu.

Watoto ntawaandalia maisha baada ya hilo tukio, mke stamdhuru ila itabidi aende kudanga tu maana ntamkimbia na pesa zote.

Hayo ni mawazo yangu tu ambayo wengi hawatayapenda, anyways mimi nimeoa na nina watoto tena spendi itokee ila ikitokea sina budi kufanya hivo. [emoji120]

1623749506957.png
 
Dunia hii ya leo iliyojaa kila aina ya wanawake, ya nini ning'ang'anie? Yani kiroho safi namruhusu aendelee kuchepuka. Na mimi nikatafute wa kumchepukisha maana maisha ya leo kila mke/mume ni mchepuko wa mke/mume wa mwingine. Ni mwendo wa mzunguko tu, kibaya kufumaniana.
 
Achepuke tu
Mwili wake maisha yake .why should I bother myself for another person actions?

Binafsi natafuta hela,amani kutoka ndani na furaha yangu mwenyewe.

Umefikiria kweli ulipoandika haya? Kumbuka huyo ni mkeo ama mmeo, na wala haiongelewi issue ya jirani au rafiki hapa, sawa?
 
Binafsi ntazingatia yafuatayo:

Je nimelipa mahali kwao?
Je mimi ninachepuka?
Je mahali ni kiasi gani nilizotoa
Je tumezaa watoto?
Je tuna mali kiasi gani?
Je huyo bwana namfahamu?

NB:baada ya kuzingatia hayo ntaanza mchakato wa kumdanganya tuuze mali kwa kumuaminisha kama kuna inshu kubwa tunataka kufanya akiingia king kaliwa kichwa.

Bwana yake lazima afe wala haitojulikana kilichomuua,tena itachukua muda kulifanya hilo zoezi wala hata mimi hatoniona kwenye tukio.Ni mwendo wa sumu tu.

Watoto ntawaandalia maisha baada ya hilo tukio,mke stamdhuru ila itabidi aende kudanga tu maana ntamkimbia na pesa zote.

Hayo ni mawazo yangu tu ambayo wengi hawatayapenda,anyways mimi nimeoa na nina watoto tena spendi itokee ila ikitokea sina budi kufanya hivo.[emoji120]
Kama haijatokea achana na haya mambo sijui sumu sijui kuuwa, kwani umezaliwa nae mkuu..

Bahati mbaya sana napoteza vyote viwil, mke na maisha yako
 
Ngoja kwanza itokee ndio nitajua... Maisha ni sasa!
Kuishi maisha ya wakati ujao ni kujipa stress

^To be forewarned is to be forearmed^ ^Those who thoroughly prepare themselves for battle, are usually triumphant even before they get into the actual battlefield^ ^Real soldiers win during preparations & rehearsals^ ^If given a six-hour task to chop down a tree, spend four to sharpen your ax^ ^Keti kwanza uhesabu gharama^ ~ Jesus, Luke 14:28-31.

Kazi ya zimamoto waachie fire brigade wenyewe; mwanadamu umepewa akili ili uwe creative & innovative.

Proverbs 22:3 TPT
A prudent person with insight foresees danger coming and prepares himself for it. But the senseless rush blindly forward and suffer the consequences.
 
nimeolewa nimechitiwa na nimechukua hizo hatua
am so happy na maisha yangu yanaendelea vyema sana
sina maisha ya kubebelea mambo moyoni mie.

Wanandoa siyo two separate people anymore -- msamiati wa ^mwili ni wake,^ hauna nafasi kwa wanandoa. Hawa ni mwili mmoja. Your body is his body; his body is your body. You're, as it were, one person.
 
Huku ni kukuza mambo jamani, mwili ni wake...ni vile tunapendana basi tunatawaliwa na wivu


Ndiyo maana unashauriwa na kuhimizwa sana sana kuisoma, kuielewa na kuijaza hati ya mkataba husika wa ndoa kabla hujaisaini. Habari ya kwenda kujazia fomu ya mkataba wa ndoa kumchumba baada ya kufanyika sherehe ya arusi au kuoana ndiyo imeigharimu taasisi hii nyeti ya ndoa.
 
Back
Top Bottom