RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Sawa, ni used car kwa hio usishangae baadhi ya vitu kuchoka. Wanaouza wanajua umefika muda wa kubadilishaSubaru Forester hizi new model kwa bongo
Sawa, ni used car kwa hio usishangae baadhi ya vitu kuchoka. Wanaouza wanajua umefika muda wa kubadilishaSubaru Forester hizi new model kwa bongo
Yaa nafikiri milage ina umuhimu sana, nina gari ya mwaka 2000 mwaka wa tano haijaniletea usumbufu lakini niliagiza ikiwa inasoma km 17,000 tu, sasa unaweza kuta mtu anaagiza gari inasoma zaidi ya km laki moja, lazima iwe mtihani..Pole sana mkuu,
Ila kumbuka ubora wa gari unaanzia kwenye millage
Pole sana. Watu wengi wanadhani kwa sababu unanunua gari used, basi hata ukiuziwa bovu ni poa tu. Haitakiwi kuwa hivyo.Wajuzi tafadhali. Nimeagiza Gari but tangu limefika limeweka kiota cha kudumu gereji. Kwa Hali hii naweza fanyeje ili nipate haki yangu hasa kwa agent aliyeniagizia
Mkuu umetumia kiasi gani mpaka iko mkononi mwako?..Exactly
Technical problem ni kweli haiwezi kuonekana kirahisi kwenye ripoti ya ukaguzi,ingawa lazima irepotiwe hata kwa ujumla kwenye ukaguzi. Hata hivyo wajep huwa wawazi sana kwenye majadiliano ya biashara, wanaeleza tatizo la gari na kupunguza bei.Nafikiri huwa wanagonga sticker tu..ukaguzi sidhani
Juzi tu nimezunguka sana kariakoo kutafuta Oil Filter ya BMW X5 nikakosa wakati naziona gari kibao tu mjini. Sijui zinauzwa wapi aisee, anaepajua anielekeze..ingawa tayari nimeagiza onlineMafundi wengi hawana uzoefu na hizi gari, inaweza kuwa ndo kitu kinachokutesa! Kama hutojali elezea tatizo la gari lako nikushauri
Nafikiri huwa wanagonga sticker tu..ukaguzi sidhani
Yaa nafikiri milage ina umuhimu sana, nina gari ya mwaka 2000 mwaka wa tano haijaniletea usumbufu lakini niliagiza ikiwa inasoma km 17,000 tu, sasa unaweza kuta mtu anaagiza gari inasoma zaidi ya km laki moja, lazima iwe mtihani..
Juzi tu nimezunguka sana kariakoo kutafuta Oil Filter ya BMW X5 nikakosa wakati naziona gari kibao tu mjini. Sijui zinauzwa wapi aisee, anaepajua anielekeze..ingawa tayari nimeagiza online
Una maana gani kulichagua mwenyewe? Je lilikuwa au halikuwa kwenye tofauti yao? Kama nilikuwa kwenye tovuti yao na ukalipia gharama za wao kulikagua kama inavyotakiwa na serikali ya Tz, wakakuambia ni zima halafu limefika unapata matatizo, wanapaswa kuwajibika.Ikiwa umelichagua mwenyewe kwenye mtandao na befoward wakakuagizia, bado watawajibika kujua ubora wake?
Fafanua mkuuMANN
Fafanua mkuu
Subaru Forester hizi new model kwa bongo
Baby walker tena, kuna mtoto anaweza kutembelea gari yenye cc. 2000 au mimi ndo sijakuelewa mkuu. Low milage zipo kibao tu ila bei nayo inakuwa juu, tatizo wengi mnakomaa na kuangalia bei tu mnasahau ishu zingineHebu katafute LC V8 (UZJ 100) au toyota crown yenye kilometre hizo ulizozitaja uone utaipatia wapi.
Mara nyingi gari zenye hizo Km ulizotaja zinakuaga vile vi-baby walker.
Kweli kabisaHebu katafute LC V8 (UZJ 100) au toyota crown yenye kilometre hizo ulizozitaja uone utaipatia wapi.
Mara nyingi gari zenye hizo Km ulizotaja zinakuaga vile vi-baby walker.
Gari ya 2007 inakuaje New Model?Subaru Forester hizi new model kwa bongo