Mimi ni suba man naungana hoja, 2004-7 hasa 006 that is a pointer....iwe forster, legacy, impreza na ile mtanuo baba lao yenye clearance kubwa ya all terrains aka outback.I
Ingawa ndiyo tunatumia Magari yaliyotumika zaidi ya miaka 10 lakini sikuhizi kuna agent kazi Yao ni kumshawishi mteja achague garus
Subaru forester third generation zimeanzia 2008 nakuendelea,
Kwangu Mimi naona toleo la 2004-07 ni Bora zaidi kuliko hizo
Halafu aseme shida nini kama ni steering pump au washachokonoa gear boxMafundi wengi hawana uzoefu na hizi gari, inaweza kuwa ndo kitu kinachokutesa! Kama hutojali elezea tatizo la gari lako nikushauri
Hizi gari baada ya toyota kuingiza nkono wake subie walizingua. Kuanzia body tu wakalegeza ikawa kama mayai wakati og zilikua so basic kama puma na chui mkwea vichuguu
Majina ya kibongo bongo soft G. Wewe hujui kibongo bongo gari ya 2008 ni new model[emoji23][emoji23] wabongo wanajuaga ukitoa gari bandarin au yard wanapouza atakwambia "jamaa kanunua gari mpya " hataki usumbufuGari ya 2007 inakuaje New Model?
Tunaita brand new kwasabb ya maisha yetu ya kibongo maana kila mtu anajua hizo gari zimetumika lakn na hata tukiita mapya sio mbayaMajina ya kibongo bongo soft G. Wewe hujui kibongo bongo gari ya 2008 ni new model[emoji23][emoji23] wabongo wanajuaga ukitoa gari bandarin au yard wanapouza atakwambia "jamaa kanunua gari mpya " hataki usumbufu
Sent using Jamii Forums mobile app