Hatua gani za kuchukua unapoagiza gari ukakuta kimeo baada ya kufika nchini?

Kwanini kusiwe na wakala ambaye ndio atapewa mamlaka ya kuaguza magari kutoka nje na ubora wake? Makonda alikuja na kitu hicho. Kaishia wapi?
 
Mimi ni suba man naungana hoja, 2004-7 hasa 006 that is a pointer....iwe forster, legacy, impreza na ile mtanuo baba lao yenye clearance kubwa ya all terrains aka outback.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majina ya kibongo bongo soft G. Wewe hujui kibongo bongo gari ya 2008 ni new model[emoji23][emoji23] wabongo wanajuaga ukitoa gari bandarin au yard wanapouza atakwambia "jamaa kanunua gari mpya " hataki usumbufu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaita brand new kwasabb ya maisha yetu ya kibongo maana kila mtu anajua hizo gari zimetumika lakn na hata tukiita mapya sio mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…