Baada ya kumuwekea fixed price kwenye mafuta yake...
Mwamba naye akakataa kabisa kuwauzia hayo mafuta...
Sasa hao hao NATO wanaanza kuweweseka eti Urusi atakata pumzi...
Who told you Russia ni nchi ya kukatikiwa pumzi?
Siku hizo nchi za NATO zinakatiwa mafuta ya Urusi, ndiyo itakuwa mwisho wa serikali zinazoongoza, mark these phrase.
Lengo lao la kuweka fixed price kwenye mafuta ya mrusi ilikuwa ni kupunguza mfumuko wa maisha kwenye nchi zao..
Sasa kitendo cha kuyakata kabisa, kitaleta mfumuko ambao hautaelezeka..
Ili kuiface hii reality, inakuhitaji uweke akilinza udhabiki maandazi pembeni.