mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,040
- 2,428
hapo utakuta unaishi kwa dada yako huchangii umeme,huchangii chakula wala huchangii bili ya maji na ikifika usiku unalala sebuleni kama baiskeli,asubuhi ukiamka unafuta remote iko wapi ya tv ya chogo upotezee muda AFU BADO UNASHABIKIA VITA,nonsense kabisaNaona mashoga fc wamevamia uzi washaanza kuweweseka.
PUTIN endelea kuwasafisha mtaro mpaka wanyooke