Mhhh. Eti Nukes. Putin akionesha hata nia tu, yaani kabla hajazifikia buttons za "ON" "ENTER" au "FIRE" wajanja watakuwa weshamlamba kichwa. AMINI NAKUAMBIA hawezi kutumia nukes hata kidogo kwani hanazo nukes yy peke yake. Na wenzake wanazo ambazo ni more advanced and with high precision/accurate sio kama anavyo broadcast makombora yake hayo ya Analogy kubahatisha-bahatisha target.... jinga lile lizee! The best option aliyobaki nayo ni nukes; uwanja ni wake.
Yes; Ni kweli NATO sio wamiliki wa dunia hii lakini pia usisahau kuwa Urussi nao sio wamiliki pia. Cha msingi hapa ni "TUHESHIMIANE bro" Kaa kwako nami nikae kwangu. Usijimilikishe kwa nguvu nchi za wenzako kibabe. Kama ni ubabe matokeo yake ndo hayo. Kama Urussi anao Washirika haijazuiwa washirika wake kumuunga mkono. Tunachoona hapo ni Mrussi kuomba-omba Iran , N.K , kukodi Mamluki(Wagner group) kukusanya watu mitaani(mobilise), Kulazimisha wafungwa (Me na Ke)n.k. Yan ni RUKSA Putin atumie washirika wake na mbinu nyinginezo kama anavyoweza. Asitishie Nuklia - si atumie ijulikane??NATO sio wamiliki wa Dunia hii.
NATO Kila wakiongeza silaha Ukraine ujue nao ndio watukua wanapungukia na akiba.
Juzi kati hapa walianza kulalamika kua wamepungukiwa na stock ya silaha ,na wengine kusema wamebakiza kwa ajili ya ulinzi wa mataifa Yao.
Hata wakizalisha na Urusi nae atazalisha.
Urusi alishajipanga miaka mingi kua Iko siku anaweza kupigana na NATO,hivyo Ukraine itabakia kuwa uwanja wa vita kati ya Urusi na NATO kwa mlango wa nyuma.
Msisahau Urusi atakapozidiwa washirika wake watamuunga mkono.
Mkidhani Urusi Hana washirika mtakua mnaota ndoto Huku mnatembea.
Hakuna ambaye (Kati yao Urussi + NATO) Hataathirika. Utofauti utakuwa ni katika Viwango. Kwani Mrussi anajitosheleza kifedha? Vivyo hivyo NATO hajitoshelezi kwa mafuta. Kwa maneno mengine iko hivi; Pamoja na Kutofautiana, Ugomvi, n.k. Bado wanahitajiana.Baada ya kumuwekea fixed price kwenye mafuta yake...
Mwamba naye akakataa kabisa kuwauzia hayo mafuta...
Sasa hao hao NATO wanaanza kuweweseka eti Urusi atakata pumzi...
Who told you Russia ni nchi ya kukatikiwa pumzi?
Siku hizo nchi za NATO zinakatiwa mafuta ya Urusi, ndiyo itakuwa mwisho wa serikali zinazoongoza, mark these phrase.
Lengo lao la kuweka fixed price kwenye mafuta ya mrusi ilikuwa ni kupunguza mfumuko wa maisha kwenye nchi zao..
Sasa kitendo cha kuyakata kabisa, kitaleta mfumuko ambao hautaelezeka..
Ili kuiface hii reality, inakuhitaji uweke akilinza udhabiki maandazi pembeni.
Nashindwa kukujibu kwani umeingiza haja za Ushoga.Putin hashindwi ng'o mashoga watasubiri
Watu tunaipenda sana Dunia, ina nini hasa hii "Dunia"inachotufanya tuing'ang'anie!?Inawezekana. Kesi kwake ni lazima hata Ukraine walishasema kwamba wanaendelea kukusanya ushahidi tuu, bado mashirika ya kimataifa ya haki za binadamu.
Nadhani Putin ataweza kupona dhidi ya kesi zitakazoweza kufunguliwa dhidi yake kwa makubaliano ya mezani pekee
Huwa yanapendaga kujitambulisha humu kimtindo. Puuza.Nashindwa kukujibu kwani umeingiza haja za Ushoga.
Kabisa mkuu.Huwa yanapendaga kujitambulisha humu kimtindo. Puuza.
Nna hamu na hii kitu mbaya kabisa, mambo ya kuisoma tu kwenye makaratasi haina radha, kwa hiyo Putin atakuwa ndio Hitler wa vita ya III! Ama hakika hata Hitler alionewa dhidi ya Propaganda za wayahudi na West….So tumeambiwa vita kuu ya tatu ya dunia inaanza 2023? Tuisubiri tu ianze
Oh! Hapo mkuu, hakuna cha usanii; ni mtu anapigika kama ngoma.Ninachodhani kinaweza kutokea ni Taifa la Urussi kusambaratika na kuwa ni vinchi vidogo-vidogo yan kama bara la Afrika lilivyogawanywa enzi hizo (WW11)kwa Mataifa ya Ulaya na kuwa ni nchi zinazojitegemea lakini chini ya uangalizi(Protectorate) Urussi kama tuijuavyo sasa haitakuwepo tena. Na Historia inaonesha ni mwendelezo wa kutoka USSR then Russia na baadaye (baada ya vita hii ya sasa) ni kutokuwepo kwa Taifa la Russia.Muda Ambao Hiyo Mnaita Ukraine Ikija Kuamka Itakua ni Magofu matupu..Wataishi Miaka Mingi mnoo Wakijiuliza kama ni Sahihi Kukimbia kimbia na usanii wanaoufanya....
Hapo bara la Afrika kugawanywa kwa WWII umepuyangaOh! Hapo mkuu, hakuna cha usanii; ni mtu anapigika kama ngoma.Ninachodhani kinaweza kutokea ni Taifa la Urussi kusambaratika na kuwa ni vinchi vidogo-vidogo yan kama bara la Afrika lilivyogawanywa enzi hizo (WW11)kwa Mataifa ya Ulaya na kuwa ni nchi zinazojitegemea lakini chini ya uangalizi(Protectorate) Urussi kama tuijuavyo sasa haitakuwepo tena. Na Historia inaonesha ni mwendelezo wa kutoka USSR then Russia na baadaye (baada ya vita hii ya sasa) ni kutokuwepo kwa Taifa la Russia.
Hakumaanisha hivyo, ni makosa tu yakiuandishi kwa kushindwa kuweka nukta baada ya sentensi "kama bara la Afrika lilivyo gawanywa enzi hizo".Hapo bara la Afrika kugawanywa kwa WWII umepuyanga
Ikiibuka hiyo vita na sisi huku tunayachenjia mafisiemuSo tumeambiwa vita kuu ya tatu ya dunia inaanza 2023? Tuisubiri tu ianze
Upo nyuma ya taarifa. Majasusi ya Kremlin yametengeneza Putin kama watatu hivi (body double)wanafanana hivyo hivyo na wote wanaoparate. Putin halisi hajulikani. Mishoga na waviziaji hawaelewi cha kufanya.Ninachojua ni Putin atauawawa na watu wake karibu hapa ndiyo itakuwa mwisho wa vita hii
Ulisema ikifika mwezi wa 12 mwaka huu 2022 Putin atakua ameshakufa/ameuawa,Vipi?So tumeambiwa vita kuu ya tatu ya dunia inaanza 2023? Tuisubiri tu ianze