mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Ukiona mtu anaishabikia simba, yanga nk ujue ana mapenzi nayo.Na ataipenda kwa vingi sana.Huwa yanapendaga kujitambulisha humu kimtindo. Puuza.
Maelfu kwa maelfu ya watu duniani wakiwemo viongozi wakuu wa nchi na Serikali huitembelea Marekani; hufuata ushoga? Unajua kila mwaka Marekani hupokea watalii na wafanya biashara wangapi duniani kote? Wote hao wanashabikia ushoga?Ukiona mtu anaishabikia simba, yanga nk ujue ana mapenzi nayo.Na ataipenda kwa vingi sana.
Ukiona mtu anaishabikia USA(ambao ni washadadiaji wa ushoga na ubaradhuli)
Basi huyo mtu atakuwa na ukaribu kabisa na ushoga.
Umeelewa nilichoku-quote lakini?Maelfu kwa maelfu ya watu duniani wakiwemo viongozi wakuu wa nchi na Serikali huitembelea Marekani; hufuata ushoga? Unajua kila mwaka Marekani hupokea watalii na wafanya biashara wangapi duniani kote? Wote hao wanashabikia ushoga?
Unajua ni nchi ipi China inauza zaidi? Ni Marekani; China wanashabikia ushoga? Unajua uarabuni products zao wanauza zaidi nchi gani? Sina hakika kama unajua ulichokiandika!
Ameachia Mikoa yote 5Mzee Putin hana ujanja tena, hii Vita hataweza kushinda.
Hebu fafanua kidogo mkuu na tupatie chanzo (link)cha Taarifa ili nasi tujisomee wenyewe.Ameachia Mikoa yote 5
Acha kuota ndugu...Mataifa makubwa yote yanafuata mambo yao tu....Marekani imeipiga pini hii mahakama mara kibao....Hajasikia hata mauaji ya juzi ya mwanahabari wa Aljazera aliyeuliwa na Israel...Aljazeera wametaka kufungua kesi...US kakataa na kasema hata shiriki kwa chochote....Inawezekana. Kesi kwake ni lazima hata Ukraine walishasema kwamba wanaendelea kukusanya ushahidi tuu, bado mashirika ya kimataifa ya haki za binadamu.
Nadhani Putin ataweza kupona dhidi ya kesi zitakazoweza kufunguliwa dhidi yake kwa makubaliano ya mezani pekee
Business as usual - uttering propaganda[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2464745
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Alishapewa go ahead ya kutumia nuclear ila atambue kuwa US atajibu mapigo ya Nuclear ndani ya Urusi.Sawa inawezekana hataweza sasa je atakubali kwamba ameshindwa?! Sio atanyanyua nyuklia?!
NATO ilishatenga bajeti ya miaka 5 ya hii vita. Watu wanaona kama NATO wajinga kisa Russia kuchukua mikoa minne, ile ilikuwa ni plan ili vita vichukue muda mrefu zaidi.Putin kayakanyaga[emoji38]
NATO wanaenda nae mdogo mdogo mpaka pumzi ikate dadeki[emoji3061]
Mwisho wa siku anawekwa rokap na mahakama ya kijeshi inaendesha kesi palepale Moscow then kitanzi kama sadam.[emoji2][emoji2]
Ni dhambi kubwa sana kutafsiri maandiko matakarifu kama hujawahi kusomea theolojia. Hayo unayosemea tayari yalishatokea miaka mingi sana ya nyuma. Hii ni era nyingine kabisa.Hapa naona kuna kujiliwaza na kujifariji lakini Biblia inasema taifa kutoka kaskazini litakuja kutawala dunia na utawala wake utakuwa ni wa kutisha mno na wenye nguvu sana. Chukua simu yako ingia Google halafu ugoogle ili ujue taifa lililo kaskazini ni lipi ,matokeo utakayo yaona ndio hayo.
Tupe ushahidi wa hiyo bajeti ya miaka 5 (NATO).Wapi imesemwa au imeandikwa:Otherwise futa hii kauli.NATO ilishatenga bajeti ya miaka 5 ya hii vita. Watu wanaona kama NATO wajinga kisa Russia kuchukua mikoa minne, ile ilikuwa ni plan ili vita vichukue muda mrefu zaidi.
Kama angedhibitiwa Russia asichukue ile mikoa, maana yake biashara ya hii vita ingeshakwama mapema sana.
Nikikuita mjinga utahisi ni kama nimekutukana. Nenda ukagoogle au kama unaona ni kazi basi nenda ktk ile thread kuu, katazame posts za march.Tupe ushahidi wa hiyo bajeti ya miaka 5 (NATO).Wapi imesemwa au imeandikwa:Otherwise futa hii kauli.
Tuambie wewe ni era ili yalitokea? Otherwise wewe ndiyo mpotoshajiNi dhambi kubwa sana kutafsiri maandiko matakarifu kama hujawahi kusomea theolojia. Hayo unayosemea tayari yalishatokea miaka mingi sana ya nyuma. Hii ni era nyingine kabisa.
Endelea kujifurahisha na kujitoa ufahamu....Nikikuita mjinga utahisi ni kama nimekutukana. Nenda ukagoogle au kama unaona ni kazi basi nenda ktk ile thread kuu, katazame posts za march.
Umekula maharagwe ya wapi wewe?... jinga lile lizee! The best option aliyobaki nayo ni nukes; uwanja ni wake.