Hatua na maandalizi muhimu ya kujenga nyumba

Marekebisho kidogo...
Hii sio ramani...tunaita elevation yaani muonekano halisi wa nyumba.

Ramani ni mchoro unaoonyesha mpangilio wa ndani...ukubwa na idadi ya vyumba japo nimekuelewa
Kwa kuangalia muonekano halisi wa nyuma kwa wenye uzoefu si wanaweza kadiria cost yake
 
Kinachoongoza kufanya makadirio sahihi ni ramani kwani lazima iwe na vipimo na kipimo ndicho kinaongoza makadirio
Uzoefu hauna uhalisia mkuu.

Nimekuwekea mfano wa ramani
IMG-20230312-WA0000.jpg
 
Naomba tofauti zake,nikiri tu sijui kuzitofautisha
Nachojua tu Ni kuwa Zina choo ndani
Master bedroom ni chumba maalum kwa ajili ya mwenye nyumba au mkuu wa familia. Ukiachilia mbali kua na kitanda kikubwa chenye two bedsides kwa ajili yako na mama watoto wako pia kinakua na choo,bafu na wash basin vya kisasa pamoja na walk in closet kubwa, sehemu ya kupumzikia itakayokua na sofa set, TV unit na vitu unavyopenda kwa ajili ya burudani. Pia inakua na balcony inayojitegemea (naweza kusema ni nyumba ndani ya nyumba).
Screenshot_20230312-132235_Quora.jpg

Screenshot_20230312-135823_Quora.jpg

Self contained room chenyewe ni chumba cha kawaida cha kulala chenye choo, bafu na wash basin kwa ajili ya watoto au wageni wako.
 
Master bedroom ni chumba maalum kwa ajili ya mwenye nyumba au mkuu wa familia. Ukiachilia mbali kua na kitanda kikubwa chenye two bedsides kwa ajili yako na mama watoto wako pia kinakua na choo,bafu na wash basin vya kisasa pamoja na walk in closet kubwa, sehemu ya kupumzikia itakayokua na sofa set, TV unit na vitu unavyopenda kwa ajili ya burudani. Pia inakua na balcony inayojitegemea (naweza kusema ni nyumba ndani ya nyumba).
View attachment 2547438
View attachment 2547439

Aisee Sasa master 3 zote za Nini
Kumbe nahitaji master moja na self 2
 
Wakuu karibuni tujuzane hatua na maandalizi muhimu ya kufuata wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba
Nina eneo langu nataka kuanza ujenzi Sasa nimepitia thread nyingi humu zinazoelezea ramani nimeshindwa kuelewana ile michoro hasa ya ground floor.

Hivi wazee wetu zamani wakati wanajenga walikua wanachora ramani ngumu Kama hizi? Mbona huko kijijini fundi anaitwa tu anaanza ujenzi na nyumba inatoka Kama ilivyokusudiwa. Anyway tuachane na hayo. Kwa ambao mmejenga nyumba zenu tupeni hatua na mambo muhimu ya kuandaa ili kuimaliza nyumba mapema.

Mfano nyumba yenye vyumba vitatu vyote master, public toilet, jiko, sebule, dinning,library(na Cha maombi hicho hicho),store.

Michango yenu ni muhimu sana kupata makadirio ya gharama na ushauri juu ya hii nyumba yangu.
Ramani ya vyumba vitatu vyote Self contained hio inakufaa boss
IMG_20221117_110941.jpg
 
Fanya research kabla hujajenga na ujue gharama zinaanzia wapi mpaka wap (estimation) usikurupuke. Nilitumia million 69 kwa nyumba ya vyumba viwili najuta kwel kwel. .
Duh pole sana,
Ni mafundi hawakuwa waaminifu au Nini kilitokea mkuu
 
Chagua Romania yenye tija. Ramani nyingine unapoteza hela na ikawa haifai
Utaijuaje Sasa Kama hii Ina tija na hii haina
Tuangalie ambayo haina mambo mengi au?
 
Ushauri wangu:
Vipimo vya nyumba na eneo lako ni muhimu, zingatia matumizi ya eneo lako, weka planning nzuri ya nini kinakaa wapi.

Unakuta nyumba nzuri ila imefinywa kwenye kaeneo kama angekuwa mtu basi hapumui.

Hii inakusaidia hata kuanza kupanda miti ya kivuli kuweka mazingira sawa kabla…
 
Master bedroom ni chumba maalum kwa ajili ya mwenye nyumba au mkuu wa familia. Ukiachilia mbali kua na kitanda kikubwa chenye two bedsides kwa ajili yako na mama watoto wako pia kinakua na choo,bafu na wash basin vya kisasa pamoja na walk in closet kubwa, sehemu ya kupumzikia itakayokua na sofa set, TV unit na vitu unavyopenda kwa ajili ya burudani. Pia inakua na balcony inayojitegemea (naweza kusema ni nyumba ndani ya nyumba).
View attachment 2547438
View attachment 2547439
Self contained room chenyewe ni chumba cha kawaida cha kulala chenye choo, bafu na wash basin kwa ajili ya watoto au wageni wako.
Hii sasa tunaiita master suite ni zaidi ya master bedroom
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla:-
2*2 fut12=2500
2*3 fut 12=3500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=14000
1*10fut 12 fisher board( treated)=15000
2*4 fut18(treated)=10000
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Wakuu karibuni tujuzane hatua na maandalizi muhimu ya kufuata wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba
Nina eneo langu nataka kuanza ujenzi Sasa nimepitia thread nyingi humu zinazoelezea ramani nimeshindwa kuelewana ile michoro hasa ya ground floor.

Hivi wazee wetu zamani wakati wanajenga walikua wanachora ramani ngumu Kama hizi? Mbona huko kijijini fundi anaitwa tu anaanza ujenzi na nyumba inatoka Kama ilivyokusudiwa. Anyway tuachane na hayo. Kwa ambao mmejenga nyumba zenu tupeni hatua na mambo muhimu ya kuandaa ili kuimaliza nyumba mapema.

Mfano nyumba yenye vyumba vitatu vyote master, public toilet, jiko, sebule, dinning,library(na Cha maombi hicho hicho),store.

Michango yenu ni muhimu sana kupata makadirio ya gharama na ushauri juu ya hii nyumba yangu.
Sema kimoja master bedroom vingne self mzeee
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla:-
2*2 fut12=2500
2*3 fut 12=3500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=14000
1*10fut 12 fisher board( treated)=15000
2*4 fut18(treated)=10000
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
Location?
 
Back
Top Bottom