Kwa kuangalia muonekano halisi wa nyuma kwa wenye uzoefu si wanaweza kadiria cost yakeMarekebisho kidogo...
Hii sio ramani...tunaita elevation yaani muonekano halisi wa nyumba.
Ramani ni mchoro unaoonyesha mpangilio wa ndani...ukubwa na idadi ya vyumba japo nimekuelewa
Kinachoongoza kufanya makadirio sahihi ni ramani kwani lazima iwe na vipimo na kipimo ndicho kinaongoza makadirioKwa kuangalia muonekano halisi wa nyuma kwa wenye uzoefu si wanaweza kadiria cost yake
Master bedroom ni chumba kikubwa na chenye vitu muhimu zaidi ya vyumba vingine.Naomba tofauti zake,nikiri tu sijui kuzitofautisha
Nachojua tu Ni kuwa Zina choo ndani
Master bedroom ni chumba maalum kwa ajili ya mwenye nyumba au mkuu wa familia. Ukiachilia mbali kua na kitanda kikubwa chenye two bedsides kwa ajili yako na mama watoto wako pia kinakua na choo,bafu na wash basin vya kisasa pamoja na walk in closet kubwa, sehemu ya kupumzikia itakayokua na sofa set, TV unit na vitu unavyopenda kwa ajili ya burudani. Pia inakua na balcony inayojitegemea (naweza kusema ni nyumba ndani ya nyumba).Naomba tofauti zake,nikiri tu sijui kuzitofautisha
Nachojua tu Ni kuwa Zina choo ndani
Aisee Sasa master 3 zote za NiniMaster bedroom ni chumba maalum kwa ajili ya mwenye nyumba au mkuu wa familia. Ukiachilia mbali kua na kitanda kikubwa chenye two bedsides kwa ajili yako na mama watoto wako pia kinakua na choo,bafu na wash basin vya kisasa pamoja na walk in closet kubwa, sehemu ya kupumzikia itakayokua na sofa set, TV unit na vitu unavyopenda kwa ajili ya burudani. Pia inakua na balcony inayojitegemea (naweza kusema ni nyumba ndani ya nyumba).
View attachment 2547438
View attachment 2547439
Self contained room chenyewe ni chumba cha kawaida cha kulala chenye choo, bafu na wash basin kwa ajili ya watoto au wageni wako.
Ramani ya vyumba vitatu vyote Self contained hio inakufaa bossWakuu karibuni tujuzane hatua na maandalizi muhimu ya kufuata wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba
Nina eneo langu nataka kuanza ujenzi Sasa nimepitia thread nyingi humu zinazoelezea ramani nimeshindwa kuelewana ile michoro hasa ya ground floor.
Hivi wazee wetu zamani wakati wanajenga walikua wanachora ramani ngumu Kama hizi? Mbona huko kijijini fundi anaitwa tu anaanza ujenzi na nyumba inatoka Kama ilivyokusudiwa. Anyway tuachane na hayo. Kwa ambao mmejenga nyumba zenu tupeni hatua na mambo muhimu ya kuandaa ili kuimaliza nyumba mapema.
Mfano nyumba yenye vyumba vitatu vyote master, public toilet, jiko, sebule, dinning,library(na Cha maombi hicho hicho),store.
Michango yenu ni muhimu sana kupata makadirio ya gharama na ushauri juu ya hii nyumba yangu.
Duh pole sana,Fanya research kabla hujajenga na ujue gharama zinaanzia wapi mpaka wap (estimation) usikurupuke. Nilitumia million 69 kwa nyumba ya vyumba viwili najuta kwel kwel. .
Asante sana boss,.Ramani ya vyumba vitatu vyote Self contained hio inakufaa bossView attachment 2547587
Chagua Raman yenye tija. Ramani nyingine unapoteza hela na ikawa haifaiDuh pole sana,
Ni mafundi hawakuwa waaminifu au Nini kilitokea mkuu
Gharama ya nyumba ndogo nikatumia 69m. Ingewezekana nikajenga nyumba kubwa kwa gharama zikaongezeka kidogo. Familia imekuw kubwa nyumb ndogo. .Utaijuaje Sasa Kama hii Ina tija na hii haina
Tuangalie ambayo haina mambo mengi au?
Hii sio ramani mkuuView attachment 2547359
View attachment 2547360
Nahitaji nyumba Kama hii
Ramani nimeitoa tu sehemu Ila kitu Kama hiki ndo kipo kichwani mwangu
Vyumba 3 masters,library,jiko, dining,sebule,choo,store
Hii sasa tunaiita master suite ni zaidi ya master bedroomMaster bedroom ni chumba maalum kwa ajili ya mwenye nyumba au mkuu wa familia. Ukiachilia mbali kua na kitanda kikubwa chenye two bedsides kwa ajili yako na mama watoto wako pia kinakua na choo,bafu na wash basin vya kisasa pamoja na walk in closet kubwa, sehemu ya kupumzikia itakayokua na sofa set, TV unit na vitu unavyopenda kwa ajili ya burudani. Pia inakua na balcony inayojitegemea (naweza kusema ni nyumba ndani ya nyumba).
View attachment 2547438
View attachment 2547439
Self contained room chenyewe ni chumba cha kawaida cha kulala chenye choo, bafu na wash basin kwa ajili ya watoto au wageni wako.
Sema kimoja master bedroom vingne self mzeeeWakuu karibuni tujuzane hatua na maandalizi muhimu ya kufuata wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba
Nina eneo langu nataka kuanza ujenzi Sasa nimepitia thread nyingi humu zinazoelezea ramani nimeshindwa kuelewana ile michoro hasa ya ground floor.
Hivi wazee wetu zamani wakati wanajenga walikua wanachora ramani ngumu Kama hizi? Mbona huko kijijini fundi anaitwa tu anaanza ujenzi na nyumba inatoka Kama ilivyokusudiwa. Anyway tuachane na hayo. Kwa ambao mmejenga nyumba zenu tupeni hatua na mambo muhimu ya kuandaa ili kuimaliza nyumba mapema.
Mfano nyumba yenye vyumba vitatu vyote master, public toilet, jiko, sebule, dinning,library(na Cha maombi hicho hicho),store.
Michango yenu ni muhimu sana kupata makadirio ya gharama na ushauri juu ya hii nyumba yangu.
Location?Tunauza mbao kwa bei ya jumla:-
2*2 fut12=2500
2*3 fut 12=3500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=14000
1*10fut 12 fisher board( treated)=15000
2*4 fut18(treated)=10000
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0654830416
vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu