Hatua na Mobeto

Hatua na Mobeto

Watu na marole models wao...😂😂😂😂
 
Kaangalie kwenye account yake kuna ushahidi wa wizi wake(second born wake)

Wizi uliosababisha team domo kuporomoka toka kushangilia nomination bet,Grammy etc mpaka afrima.

Toka kushindana na akina davido,burna boy,tecno etc mpaka kondegang,alikiba

Yaan vile safari za sauzi ilikua kama kwenda kariakoo tu ila siku hizi daah hatuna pa kufikia poor us
Niambie huo wizi Ni upi mbona hii habari imenipitia kushoto
 
kwahiyo kisa anaitwa mobeto ndo mana ukajisajili, ingekua ni mimi siasa mbaya sana je ungethubutu?

anyway siwezi zuia ridhiki ya mtu mchangieni mobeto baadae aende location.🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Kaangalie kwenye account yake kuna ushahidi wa wizi wake(second born wake)

Wizi uliosababisha team domo kuporomoka toka kushangilia nomination bet,Grammy etc mpaka afrima.

Toka kushindana na akina davido,burna boy,tecno etc mpaka kondegang,alikiba

Yaan vile safari za sauzi ilikua kama kwenda kariakoo tu ila siku hizi daah hatuna pa kufikia poor us
Numbisa Hapa nimekuelewa unamaanisha Zari kuibiwa bwana na Hamisa mobetto Sasa tangu lini mwanaume mwenye akili zake akaibiwa kwani amekuwa toy au msukule mpaka abiwe? Nyie wanawake mnaniacha hoi kwa kauli Kama hiyo Hakuna sehemu ambayo Hamisa kaiba wewe ndio ulitakiwa ujiulize pamoja na Zari mwenyewe kipi kilichofanya mondi aende kwa Hamisa?

Kuhusu kufifia kwa mondi baada ya kuwa na Hamisa mobetto hapo umeongea kishabiki Hadi sasa hivi tunazungumza diamond ameandikwa kwenye jarida la Grammy au hii ukuiona lakini pia ameteuliwa kuperform jukwaa Moja na Bruno Mars show ambayo itafanyika Ureno ukiachana na hapo ameteliwa kuwania tuzo ya Afrimma kwenye vipengele 6 kuliko msanii yoyote wa Africa.Ameshirikishwa kwenye album ya msanii mkubwa mwenye tuzo 6 za Grammy Alicia key na Hadi sasa hiyo album ndio ipo chart no 1 duniani na ngoma aliyomshirikisha Diamond ndio inaongozwa kwa kupendwa na kusikilizwa Mara nyingi kuliko nyimbo zake zote kwenye Hiyo album yake je hapo ndio kufifia kwa mondi au kufifia siku hizi inamaana tofauti?
 
Ila dada zangu wepesi sana kupigwa,huyo hamisa mwenyewe ni "mjasiria-mbunye" full kudanga still bado hamjiongezi.Ana biashara gani mjini kama sio kuuza kipochi manyoya zake jiongezeni.

Hiyo event Hamisa kawekwa mbele na manager wake Dr Ulimwengu kama njia tu ya kumbrand lakini watakaoongea ni watu experienced kwenye biashara hivyo, naona ni fursa kwa wajasiriamali wenye kutaka kufanya biashara kisasa
 
Hamna cha experience wala nini wezi hao.Ukitaka kuwa mjasiria mali wa kitu fulani,mfuate mtu ambaye ana experience na anakifanya hicho kitu kaa nae atakuelekeza,haya maswala ndio yalio mfanya dada yangu apigwe laki tano.

Hamna kitu hapo zaidi ya story na kuuziana chai.
 
Kaka ake chuchunge kazini.
Numbisa Hapa nimekuelewa unamaanisha Zari kuibiwa bwana na Hamisa mobetto Sasa tangu lini mwanaume mwenye akili zake akaibiwa kwani amekuwa toy au msukule mpaka abiwe? Nyie wanawake mnaniacha hoi kwa kauli Kama hiyo Hakuna sehemu ambayo Hamisa kaiba wewe ndio ulitakiwa ujiulize pamoja na Zari mwenyewe kipi kilichofanya mondi aende kwa Hamisa?

Kuhusu kufifia kwa mondi baada ya kuwa na Hamisa mobetto hapo umeongea kishabiki Hadi sasa hivi tunazungumza diamond ameandikwa kwenye jarida la Grammy au hii ukuiona lakini pia ameteuliwa kuperform jukwaa Moja na Bruno Mars show ambayo itafanyika Ureno ukiachana na hapo ameteliwa kuwania tuzo ya Afrimma kwenye vipengele 6 kuliko msanii yoyote wa Africa.Ameshirikishwa kwenye album ya msanii mkubwa mwenye tuzo 6 za Grammy Alicia key na Hadi sasa hiyo album ndio ipo chart no 1 duniani na ngoma aliyomshirikisha Diamond ndio inaongozwa kwa kupendwa na kusikilizwa Mara nyingi kuliko nyimbo zake zote kwenye Hiyo album yake je hapo ndio kufifia kwa mondi au kufifia siku hizi inamaana tofauti?
 
Hamna cha experience wala nini wezi hao.Ukitaka kuwa mjasiria mali wa kitu fulani,mfuate mtu ambaye ana experience na anakifanya hicho kitu kaa nae atakuelekeza,haya maswala ndio yalio mfanya dada yangu apigwe laki tano.

Hamna kitu hapo zaidi ya story na kuuziana chai.

Okey kama alipigwa 500k sijui ni kwa mazingira gani na siwezi kulisemea hilo...

Hizo seminar na warsha za kibiashara zikiwa na watu serious behind huwa hazina mambo ya hovyo kwa sababu zina njia ya kutengeneza pesa nyingi kuliko viingilio vya 10k. ila nachoona kikubwa mmechukulia image ya Hamisa kufanya conclusions zenu pasipo kufanya utafiti au mnachukulia kila business seminar ni kama network marketing

Pia Siamini mtu kama Dk Ulimwengu mwenye Kampuni kama crexcel na yupo kwenye creative industry kitambo. Bado anammanage idris ambaye ni moja ya watu wanaopata endorsement hadi za mashirika ya umoja wa mataifa. Akaweka reputation yake at risk kwa sababu ya hela za warsha
 
Kaka ake chuchunge kazini.
Numbisa usimchukie Hamisa Hana makuu na asiyependa ugomvi unaanzaje kumchukia mwanamke Kama hamisa? Ingekuwa unamchukia mtu Kama mange kimambi,Juma lokole,Mwijaku and the same types angalau ningekuelewa ila sio Hamisa
 
Sasa huyo mobeto atawapeni mbinu gani za ujasiriamali anajua nini kuhusu ujasiriamali
Zaidi ya kutaka kwenda kumuona sura yake tu

Ova
 
nimetoka kupigwa juzi na hao hao sina hamu kabisa
 
Back
Top Bottom